Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Akiwa Mdogo na Kaka yake, walikuwa Ndani huku wakicheza mchezo wa tiali bado.
Ilipofika zamu yake kujificha, O’shea Jackson alifungua Friza na kudumbukia ndani kwa malengo ya kujificha.
Kaka yake alimtafuta na kumkosa na kisha akaamua kutoka zake Nje na kwenda kujiunga na watoto wengine ba kuendelea na michezo.
Akiwa ndani ya Friza huku hali ya baridi ikiwa ni kali na inazidi kumuelemea alifanya jitihada zote za kujiokoa lakini ilishindikana.
Bahati ilikuwa upande wake, kwa maana Mama yake mzazi alikuwa anaandaa maakuli hivyo ilimlazimu kwenda kwenye Friza kuchukua Giligilani, Ajina Moto, Kotmili na zaga nyingine.
Basi ile paaap Bimkubwa alipo fungua Friza akamkuta Dogo abatetemeka huku hali yake ikiwa dhoofu na anaelekea kukata Moto.
Kwa mshtuko Bimdanga alilifunga Friza na kupiga ukunga wa maana.
Hatimae ujasili ukamuingia na hatimae akaenda kufungua tena na kumuopoa Dogo.
Jumapili ilipofika O’shea alikwenda Kanisani kutoa shukran huku akiwa ameongozana na rafiki yake wa kike unaweza iita pisi yake.
Mchungaji alimuombea na kisha baada ya sala akaleta masihara kidogo kwa kumuita ICE CUBE, na tangu hapo ndipo likawa jina lake.