Je unaenda kuwa mzigo au?

Je unaenda kuwa mzigo au?

Haha, jamaa kanistua nikafikiri kakubaliana na msimamo wangu. [emoji28] [emoji23]
Hahaha unadhani atakubali, lazima atutetee sisi ME...Kazi kwako kutetea KE.. mi nawaangalia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah ! Joseverest, mzee wa kuniponda. Haya bhana ngoja nijikite kwenye mada.

wanawake wasioweza kuishi bila kutegemea waume zao ndiyo wanaodumu kwenye ndoa. Na ndoa nyingi sana zinazosifiwa kuwa zimedumu mke ni chawa wa mume.

Angalia wadada wenye ajira za kulipwa vilaki 5 mkp milioni kwa mwezi. Aaah ! Jeuri hao ni balaaa. Na mara nyingi huvunja ndoa zao.
 
Umenena vyema sexless hahahaha
 
Wadada wenyewe ndo hawa wa kibongo bata 24 hour's au kuna wengine
 
Aaah ! Joseverest, mzee wa kuniponda. Haya bhana ngoja nijikite kwenye mada.

wanawake wasioweza kuishi bila kutegemea waume zao ndiyo wanaodumu kwenye ndoa. Na ndoa nyingi sana zinazosifiwa kuwa zimedumu mke ni chawa wa mume.

Angalia wadada wenye ajira za kulipwa vilaki 5 mkp milioni kwa mwezi. Aaah ! Jeuri hao ni balaaa. Na mara nyingi huvunja ndoa zao.
Uko vyema mkuuu....
 
Back
Top Bottom