- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,558
Sure, kuna mabadiliko japo sio makubwa kivile!He has a point yes but, hizi zama wanawake wanajitahidi pia kujikwamua kimaisha.
Sure, kuna mabadiliko japo sio makubwa kivile!He has a point yes but, hizi zama wanawake wanajitahidi pia kujikwamua kimaisha.
Kila kitu ni lazima mjilinganishe na mwanume? Badilisha hiyo dhana ya kifikira itakutesa sana. Ukiona sehem kuna mjadala wa jinsia fulani usilazimishe kuleta jinsia nyingine jaribu kujenga hoja juu ya mada na sii vinginevyo. Kwani mada ingekua inasifia jinsia yako ungeleta jinsia tofauti uanze kufananisha sifa? Napata tabu kuamini kuwa watu kama nyie huwa mnaishi na wanaume na kama jibu ni ndio basi nna wasiwasi uanaume wa wanaume zenuOn point Jose..
Lakini mbona umesema sisi tu, kwani nyie hamuwezi kuja kuwa mizigo?
Tena nyie ndo mbaya zaidi cos mwanaume akiishiwa, halafu na hizo ego zenu si rahisi kurudi kwa wazazi ni heri afe kisabuni kwa mwanamke wake.
Sure, kuna mabadiliko japo sio makubwa kivile!
Kila kitu ni lazima mjilinganishe na mwanume? Badilisha hiyo dhana ya kifikira itakutesa sana. Ukiona sehem kuna mjadala wa jinsia fulani usilazimishe kuleta jinsia nyingine jaribu kujenga hoja juu ya mada na sii vinginevyo. Kwani mada ingekua inasifia jinsia yako ungeleta jinsia tofauti uanze kufananisha sifa? Napata tabu kuamini kuwa watu kama nyie huwa mnaishi na wanaume na kama jibu ni ndio basi nna wasiwasi uanaume wa wanaume zenu
Huko kupanua mawazo ndiko kuna leta migongano kwenye familia changa za kizazi hiki. Nadhani kuwa msomi sio kuhoji kila kitu. Kuwa msomi ni kuweza kujua jamii iko vipi na kuweza kuishi nayoKwani kuleta jinsia tofauti kwenye mjadala sio kujenga hoja?!, na kuna ubaya gani tukilinganisha?
Kama mada ingekuwa ya jinsia yangu nisinge mind mtu kuleta jinsia tofauti, matter of fact, ningefurahia kuona hoja ambayo ni tofauti na yangu badala ya ku base na upande mmoja tu, cos ingenipanua mawazo kama ilivyo dhana ya kifikira.
Huko kupanua mawazo ndiko kuna leta migongano kwenye familia changa za kizazi hiki. Nadhani kuwa msomi sio kuhoji kila kitu. Kuwa msomi ni kuweza kujua jamii iko vipi na kuweza kuishi nayo
Ndoa kuvunjika na kuwepo kwa single parent ndio maendeleo?Kwa hiyo tusipanue mawazo kwa kuogopa migongano katika familia?
Kama binadamu, tungekuwa waoga kujifunza mambo tofauti na tuliyoyazoea kisa tunaogopa matokeo kama yatakuwa mazuri au mabaya tungefika tulipofika kimaendeleo?
Ndoa kuvunjika na kuwepo kwa single parent ndio maendeleo?
Hahahaha hapo unakubaliana mimi kwamba sio kila kitu tulinganishe jinsia ya me na ke. Kuna vitu vingine inabidi uache ukiwa kama mwanamke. Kuna mambo ambayo wanaume huona na kuacha hawajilinganishi na wanawake hii inasaidia kuleta utawala kwenye jamiiWell, hizi ndoa zinavunjika kwa sababu watu hawana akili za kutunza vizuri familia, na akili zinazotokana na kuwa na ufahamu, na ufahamu unaotokana na kupanua mawazo. Back to square one. Kupanua mawazo ni muhimu.
Hahahaha hapo unakubaliana mimi kwamba sio kila kitu tulinganishe jinsia ya me na ke. Kuna vitu vingine inabidi uache ukiwa kama mwanamke. Kuna mambo ambayo wanaume huona na kuacha hawajilinganishi na wanawake hii inasaidia kuleta utawala kwenye jamii
Point yangu inarudi nyuma kuwa wanawake acheni kulinganisha kila kitu, tumie akili sio kila wakati ikiongelewa mada mnaanza kusema NA SISI., hadi wanawake wa darasa la saba wanawashinda nyie mliopata elimu hujulizi kwannNimekubaliana na wewe kivipi loveb!, nimerudi tu mwanzo kuwa kupanua mawazo na kujifunza ni muhimu ili hizo ndoa unazosema zidumu.
Kha!, halafu toka lini nyie mkajilinganisha na sisi? Au ndo hao wanaolialia humu kila siku mara wanawake hivi, wanawake vile kwa sababu tu wanawake hawafanyi vile wanavyotaka wao?
Basi nina wasi na uanaume wao!
Point yangu inarudi nyuma kuwa wanawake acheni kulinganisha kila kitu, tumie akili sio kila wakati ikiongelewa mada mnaanza kusema NA SISI., hadi wanawake wa darasa la saba wanawashinda nyie mliopata elimu hujulizi kwann
Achana na kusubir mada iletwe then useme na sisi anzisha mada yako uone kama wanaume watasema na sisiHahaha!, eti na sisi, mpaka umenichekesha!
Kwa hiyo hata kama kuna kitu muhimu kinaongelewa ambapo tunaweza kuchangia na kuwa part of it tukaage kimya tu, kuogopa kujilinganisha?!