Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Achana na kusubir mada iletwe then useme na sisi anzisha mada yako uone kama wanaume watasema na sisi
Hahaha, unasema hivi kwa ujasiri wote cos unajua fika hakuna wa jinsia yako atakayefanya hivi.
Anyways, back to the topic, msipojiangalia mnaweza kuwa mizigo pia. 🙂
Coz unataka kuniaminisha kuwa nyie huwa hamuhitaji kabisa msaada wetu.
Kitu ambacho sikubaliani nacho.