Je, umewahi kutoa pesa ya mchango kwaajili ya huduma ya chakula cha mchana shuleni kwa mwanao?

JF Toons

Digital Art by JF
Feb 19, 2024
32
66
1710411581375.png
Shuleni ni mahali ambapo wanafunzi hutumia muda mwingi wa siku yao kuliko sehemu nyingine. Chakula ni miongoni mwa nguzo za msingi katika kuleta ustawi na utulivu wa kimasomo wa mtoto wako.

Muongozi wa wa Taifa wa utoaji Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi unaeleza kuwa Wazazi na Wadau wa elimu wana jukumu la kuhakikisha wanawapa chakula Wanafunzi wote shuleni.

Je, wewe mzazi au mlezi umewahi kuchangia pesa ya chakula kwa ajili ya mwano shuleni?
 
ndio.
ingawa mwanzoni ilinisumbua kwa sababu hayati magufuli alikua amepiga marufuku michango shuleni, ila kwa sasa nimekwisha elewa mantiki.
 
Back
Top Bottom