Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Pombe zinapunguza vp mkuu.....coz naskia watu wakipiga k vant ...ngoma inakua gud sana
Mzee wa Yanga Pombe ndo inasababisha sana vijana wengi washindwe show ngoja nikupe sababu...
Pombe inafanya yafutayo

inapunguza Blood Flow: pombe ni vasodilator kwa kipimdi cha mwanzo mwanzo na ndo maana kama ulivyosema kuwa watu wanatandika Kvant halafu na mambo wanayapiga kweli kweli..
ila hiyo huwa furaha ya mwanzoni ndugu yangu pombe zikizidi zinasababisha vasoconstriction hivyo zinasababisha damu chache kuflow kwenye penis na ndo hapo hutokea Kushindwa kusimamisha vizuri mzeee.

kuinterfere na mfumo wa fahamu kwahyo inadepress central nervous system, ambayo inaweza kusababisha impairement ya brain's ability ku transmit signals zinazohusiana na kusimamisha au kupata libido na response yake na ndo maana kuna mwingine anakwambia nimeenda na demu geto ila mzigo haujasimama kabisa pia alcohol mzee inadisrupts hormones
 
Wakuu goli 5 ni nyingi kufikisha kwa bed.

Leo alfajiri nimejaribu hii, jana nilitembelewa na mama yenu mdogo so kulingana na nature ya siku ya jana hatukufanya chochote usiku sababu yeye ni kolo kindaki ndaki.

So, asubuhi nimeona nianze na morning glory but target yangu ilikuwa nipige bao zaidi ya tano (5G+). Kama wananchi but nimeshindwa, although nilikuwa well prepared kwa kula diet nzuri siku ya jana, but mnara umegoma kusoma 5G!

Swali wakuu; Goli/bao tano ni nyingi sana kufikisha, je umewahi kufikisha?
[emoji113]
Zamani tulikuwa na jando na unyago.
 
hizo dawa zako za nguvu za kiume
Mkuu Mimi siuzi dawa za nguvu za kiume mkuu na sijawahi kufanya hivyo Am Medical Proffesional kwahiyo maadili yangu ya kazi yananitaka kusaidia umma kwa yoyote mwenye Uhitaji wa huduma yangu..
Rejea Hippocroatic Oath (Kiapo cha udaktari)

NB: Nachoshauri ni jinsi ya kula vizuri na jinsi ya kufnya kwa kutumia ili kurejesha hali ya kawaida...
Na huwa sishauri matumizi ya sildenafil citrate zozote na jamii zake kwa sababu huinduce chemical ambazo sio nzuri kiafya
 
Mkuu Mimi siuzi dawa za nguvu za kiume mkuu na sijawahi kufanya hivyo Am Medical Proffesional kwahiyo maadili yangu ya kazi yananitaka kusaidia umma kwa yoyote mwenye Uhitaji wa huduma yangu..
Rejea Hippocroatic Oath (Kiapo cha udaktari)
medical professionals don't rely on biases, eti gen z na millenials hawafiki 5

we mzee jau sana
 
Inatdgemea na umri.
Kijana wa miaka 21 anafikisha hizo ila sio daily sex. Ukifanya kila siku ubongo unakinai na hisia zinakuwa mbali.
Kama umeoa huna sababu za kupiga gori 5 maana huyo mke yupo kila siku.
Kama mpo kwenye umri wa kuiba iba vitoto vya watu sawa..
 
Back
Top Bottom