Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Wakuu goli 5 ni nyingi kufikisha kwa bed.

Leo alfajiri nimejaribu hii, jana nilitembelewa na mama yenu mdogo so kulingana na nature ya siku ya jana hatukufanya chochote usiku sababu yeye ni kolo kindaki ndaki.

So, asubuhi nimeona nianze na morning glory but target yangu ilikuwa nipige bao zaidi ya tano (5G+). Kama wananchi but nimeshindwa, although nilikuwa well prepared kwa kula diet nzuri siku ya jana, but mnara umegoma kusoma 5G!

Swali wakuu; Goli/bao tano ni nyingi sana kufikisha, je umewahi kufikisha?
[emoji113]
Ku - copy na ku pest!
View attachment 2806371
 
Mkuu,kwanza nitangulize pole....pole sana mkuu hizi changamoto huwa nazisikia sana.
bao tano ni chache sana lakini kwa mazingira ambayo unakutana nayo,mindset,body fitness,umri na aina ya mwanamke unae kutana nae.binafsi naenda 7 8 mpaka 9 ndani ya masaa nane adi kumi.

hivi viumbe huwa napokutana navyo natenga siku nzima....kushinda navyo ndani huwa ni kawaida yangu.baada ya hapo week ad week game ya marudio upigwa tena na mwendo ni ule ule juu chini chini juu.

Political is just liKe a war always, BOOST YOUR CONFIDENCE
 
Na bado ukaachwa mkuu
hapana sikuachwa bali nilivunja mahusiano kutokana na watu wa kwao kugoma asibadili dini hiyo ilikua miaka 5 baadae nikapiga chini nikavuta chombo mpya iliyokua tayari kubadili dini na njema zaidi chombo hii ilikua bikra mkeka wa yule wa bao 10 ukachanika ila bado nawasiliana nae ni afisa maendeleo mkoa jirani, kazalishwa ila hajaolewa dailly ananiita "mume" tehee hee
 
Fanya usisahau kupasha kipolo
 
Back
Top Bottom