Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,011
- 32,907
- Thread starter
- #341
Na bado ukaachwa mkuuhapana mkuu niliondoka nikamsindikiza stand alikua anaenda shule kidato cha sita mimi nilikua chuo mwaka wa pili. Cha ajabu next day nilipotazama picha tulizopiga pamoja midadi ikanijaa nikajilipua kipindi hicho bado nilikua kwenye chama pendwa cha CHAPUTA.
Kiukweli yule dogo nilitokea kumuelewa sanaaa nadhani ndio mwanamke nilimpenda kuliko wanawake wote.