Je umewahi dumu na mpenzi uliyetafutiwa ?

Je umewahi dumu na mpenzi uliyetafutiwa ?

Kipindi nimepata kazi taasisi moja ya umma nimapelekwa wilaya mona hivi, basi kwa kua nilikua nahudumia raia vizuri na kauli nzuri nzuri dada mmoja akanipenda sana akasema kwa kua naonekana nina tabia njema atanipa mdogo wake nioe. Nikasema sawa.

Kweli bwana akaniunganisha na kitoto kimoja kizuri kirefu, bahati kitoto bado kilikua sealed, aisee nilikua nakitafuna kile kidogo, dada yake alikua ananipenda balaa, acha kabisa ila ndio hivyo sikuwahi kukipenda. Kwa kweli naweza kusema kile kitoto nimekihujumu.

Mwaka jana nikaunganishwa na shemeji zangu kwa mtoto wa rafiki yao, tulivyokutana sikuvutiwa nae nikaona huyu nikimtafuna ntajitaftia lawama kwa shemeji zangu maana hana zile sifa napenda, nikawa namkwepa ila anakuja tu na shemeji zangu kila muda wananiulizia, namkwepa ila naona anakuja tu soku akalazimisha nikaona huyu hanijui nimamuita mahala akaja nikamtafuna vibaya, ebwanaee kosa kubwa, akaja mzima mzima sasa na shemji zangu wanashadadia nioe kabisa, nikatambulishwa hadi kwao mimi sijui, ilikua balaa. Nilijilaumu sana kumla yule binti. Shemeji zangu wananiangalia tu kwa jicho baya nimemla mtoto wa shoga yao alafu nimemtema.

Mwaka jana tena ndugu yangu mmoja hvi akaniconmect na kabinti flani, siku nimekaona sijakakubali ila nikasema haka nikikala kisha nikakatema tutagombana na huyu ndugu, nikakaacha ila siku zilivyokua zinaenda nikaanza kudevelop some interest kwake, baadae moyo unasita nikitaka nikapige moyo unasita nikaona ngoja nikavutie pumzi basi bahati nzuri kakaja kunizingua nimapata ahueni maana ningekala ningetafta lawama kwa watu.

Mwaka juzi bro wangu mmoja aliniunganisha na demu moja hivi eti la kule kwetu nioe, baada ya siku 2 nimamtafuna vibaya hadi sasa namla ila sina interest nae, ni mzuri ila sijamkubali. Yuko perfectly shaped ila hajijali.

Mimi naamini unaweza kuunganishwa na mtu na bado mkadumu na mkafanya mambo makubwa, mimi sijapata tu ambae namkubali 100%. Ingawa hata naotafta mwenyewe hua siwakubali, nadhani shida inaweza kua iko kwangu.
 
Tuliishia kwenye first date baada ya hapo sikumtafuta tena, alikuwa akipiga simu sipokei. Alinitafuta hadi akachoka.
 
Back
Top Bottom