CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mi najua kwa nini....Lakini sikuambii.
We ulisoma kisa cha Manenge na Mandawa?
Neema na Baraka
Kibanga ampiga Mkoloni
Mr. and Mrs. Daudi
Au ndio kizazi cha dot com
Hahahaha! Mtusi na Mhutu utawajua tu LOL wabishiiiiiii kama Mugabe.Kwani lazima nisome hizo? Mi sikusomea primary TZ. Hayo ya kuchokozana ukitaka usinambie, hata mimi najua! hahahaha
Hahahaha! Mtusi na Mhutu utawajua tu LOL wabishiiiiiii kama Mugabe.
nimesoma na ninaendelea kusoma bible kila mara, kwan hunisogeza karibu na Mwenyezi Mungu. hasa nifanyapo dhambi (make sisi wanadamu sio wakamilifu kuweza kujiepusha na kutofanya dhambi) huwa najuta sana. . . bible hunifunza mengi.
Hahhahaha! Angalia mkoloni wa siku hizi si kama wa zamani. Watakucheka watu. Kuna tamthilia moja inaitwa Hawala Ya Fedha ushaisoma? Usiikose. Na kuna kitabu kinaitwa KULI. Yaani nikikumbuka najisikia hamu ya kuendesha kreni.Hhahahahaha, aisee, wakikuskia wenyewe watachukia kufananishwa na Mugabe. Ila ningependa nisome Kibanga ampiga Mkoloni. I have come to develop some form of admiration for this Kibanga guy. Na mimi kesho namuamkia mkoloni wangu na bakora, ananiudhiiiiii!
Hahhahaha! Angalia mkoloni wa siku hizi si kama wa zamani. Watakucheka watu. Kuna tamthilia moja inaitwa Hawala Ya Fedha ushaisoma? Usiikose. Na kuna kitabu kinaitwa KULI. Yaani nikikumbuka najisikia hamu ya kuendesha kreni.Hhahahahaha, aisee, wakikuskia wenyewe watachukia kufananishwa na Mugabe. Ila ningependa nisome Kibanga ampiga Mkoloni. I have come to develop some form of admiration for this Kibanga guy. Na mimi kesho namuamkia mkoloni wangu na bakora, ananiudhiiiiii!
Hommie ulishakutana na hili jina 'WAGAGAGIGIKOKO' kwenye kitabu chochote? Wacha kabisa.Kikosi cha Kisasi (KK) by Elvis Musiba
The river between (Ngugi)
No Longer at ease (Chinua Achebe)
Things Fall Apart (Chinua Achebe)
Mabala The farmer (Richard Mabala)
Hawa the Bus Driver (Richard Mabala?)
Tujifunze Lugha Yetu (1-7)
Petals of Blood (Ngugi)
An ear on the ground (James Hadley Chase)
Hofu (Elvis Musiba)
Kikomo (Elvis Musiba)
Hujuma (Elvis Musiba)
Mauaji ya rwanda (Elvis Musiba nimesahau title)
Song of Lawino and Okot (Okot P B'tek)
Three sweeters one Husband (nimesahau author)
Adili na Nduguze
Hidithi za alfu lela u lela
Kuanguka kwa Fashisti Iddi Amini (TPH)
Uhuru wa Watumwa
...............................orodha ni ndefu wajameni
Hommie ulishakutana na hili jina 'WAGAGAGIGIKOKO' kwenye kitabu chochote? Wacha kabisa.
Hekaya za Abunuwasi?
Tutarudi na Roho Zetu?
Songo Of Lawini/Ocol?
The Black Hermit?
NAKUMBUKA WAKATI NAMALIZIA PH.D YANGU PALE BERKELEY UNIVERSITY, SAN FRANSISCO CALIFORNIA. NILISOMA KITABU/NOVEL YA SIDNEY SHELDON (RIP) KIITWACHO 'IF TOMORROW COMES' TANGU HAPO NIKAHAKIKISHA SIKOSI NAKALA YOYOTE YA SIDNEY SHELDON. He's my role author
shud yu say this?haihusiki hapa!
Ana haki zake huyo ndio maana majina yao huanza na dakta...
barua ndefu kama hii by ama ata aidoo
great gatsby
vuta nkuvuta by shaffii adam shafi
pesa zako zinanuka
siku ya gulio katerero
kivuli kinaishi
ngoswe penzi kitovu cha uzembe\
beleive this and u will beleve everythig
well,now my pretty
an ear to the ground
until yu marry me again
tempatation ya harold robinson
series novel kama za SWEET VALLEY UNIVERSITY,HARRY PORTER zote)
the man to die for
ah nyingi bwana zingine sikumbuki ngoja niretrieve memory yangu vizuri