sasa wewe hujui tu hakuna lindo nzuri kama ya benki b'se wanakulipa tofauti na mshahara wako hivyo you can make more money natamani kila siku niwe lindo la bank halafu wale madem wanaofanya kazi banks wanakubali sana solders hivyo ukitaka unakamatia hapohapo na ukitembea naye njiani wanakuwa wanajiamini
EJAy sure man madem wengi kitaa wanazimia masoldier kinoma mimi si ninaona hahahha fresha mna we wana join your force broo tutafundishana Mengine tukifanikiwa kuingia man but swala la kua ofsa huwa wanachukua probation ya miaka mingapi mzee maana haitakua na logic uingie kqenye force na bacholor then ustaafu ukiwa constable si bora mtu asingepoteza mda akaingia akiwa four leaver ikajulikana tu hahahaa