Hata hujaniudhi tunaongea boy wangu daaah ila kama kusoma wanabaniana hapo hawawez nipata hata mimi aisee for sure napenda sana kujiendeleza
ndo maana mi siogop huo msoto ila mi nlifkir kua unaenda ccp uktoka unafika unafanya shughuli za field yako na sio kuwa askar wa kawaida halafu ndo uombe tena kuusomea uafisa, halafu wajui kama unavision hizo utajuta kuzaliwa,yaan kila lindo gumu na hatar kwa maisha yako utakua unapangwa.