Mkuu tujuze hizo interview wanatoa majina lini
Kweli Tanzania hali ya maiaha ni ngumu, yani inafikia hatua hata kazi ya jeshi unaililia! Eu não acredito, mimi hata nifuatwe nilazimishwe siitaki, vala á pena nishike mbopo nikalime.
Sasa cjui madokta wanaowahitaji ni wapi Hao wenye 25 yr, labda sio tz.. Otherwise they have to put up to at least 28,
Wakugushi vyeti watakuwa wengi kigezo cha umri Kwa anye degree wamekosea wangefanya 35yrs
mkuu tuvumilie ila kwa tetesi za chini nasikia wanaitajika graduate wasiozidi 200[ are sure bro?
Am sure kaka intake hii ndo wanahitaji hiyo idadi na ndo mana unaona hawajatoa hayo majina xo nafikiri jamaa watakomalia kwenye vigezo vyao sana.ila tusife moyo.tusubiri watoe huu mwezimkuu tuvumilie ila kwa tetesi za chini nasikia wanaitajika graduate wasiozidi 200[ are sure bro?
ulaya kaz za majesh ndo zinagombaniwa!
kweli kabisa majuu kazi ya majeshi ndio kazi yenye heshima kubwa na ndio kazi wasomi hupigania
EJay upo wewe jamaaa umepotea kbsaa ndugu yanguu
Kweli mkuu watakao pata nafasi itakuwa bahati yao coz nafasi hizo ni chache sana
Jaman wadau nawaombeni mnijuze juu ya zile nafasi a volunteers zilizokuwa zmetangazwa na GIO June 2014 na mwesho wa kutuma maombi ilikuwa ni 31july...........na training yao ilikuw ianze leo tareh 6 /09/2014, maana naona kimya kingi kutoka waliponitumia e mail yao ya kunitaarfu kuw nimefanikiwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa short listed candidates. Na wakasema nitume kiasi cha Tsh 50000 kwa mpesa , nikatuma na baada ya hapo wakaniahid kunitumia email ya ratiba ya training ambayo ilitakiwa ianzae leo. cha kushangaza sijapata hyo email yao na hata namba yao yacmu haipatikan naombeni mnipe jibu waungwana maana kitaan pagumu jaman..................
Kama umesoma BALE ukiitwa kwa usaili weka asilimia mia kwenda ccp na kama umesoma LLB weka 90% Hao wengine ndio zali.
Mkuu mbona unawakatisha tamaa majomba walioapply angalia tangazo lilihitaji watu wenye sifa zipi? Kila kozi inahitajika kutokana na hitajio la police kwa mwaka huu ndio maana wakatoa kipaumbele. Wadau mlioomba msipagawe na comments za wachache wait n see kikubwa ukidhi vigezo tajwa.
kvp yaan ebu eleweka! kama ni vigezo wameweka 18-25 na iyo ni kwa wote... ndo mana wote wanawaita proffesional haijalish dip, degre, certific, au ufundi ..