James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,113
- 13,355
Kwa nyie wadada mlio tayari kuolewa ile first time mtu anakusemesha au anakutafuta privately kuwa nayo makini sana. Mwanaume haji private pasi na kuona au kuwaza chochote. Ktk hicho chochote unaweza kupata mwenza wa maisha.
Kuna comment kama 3 nimeziona zikimlaumu mtoa mada kuwa alitafutwa lakini hakutafutika. Inawezekana ni utani. Lakini waswahili wanasema kuwa makini sana na utani, sik hizi ukweli hupitishwa ktk utani.