FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,420
- Thread starter
- #21
je, wewe ungekubali?
yes TANMO ningekubali sema ningesikitika kukaacha kabinti kangu bado kadogo sana kananihitaji ....baba yake najua baada yamuda angeoa :wink2:
je, wewe ungekubali?
FL1, kwenda paradiso ni kwa neema ya Mungu. It's a daily struggle, unaanguka, unaamka, unaendelea na safari.
Kuna wachache wanaopata bahati ya kufunuliwa saa ya kuondoka kwao na wanaongoka.
Dah, hili swali zito sana hili.
Anyway asante kwa kutukumbusha.
hahaha habari ndo hiyo Kongosho ,nadhani unaelewa hatujui siku wala saa
yes TANMO ningekubali sema ningesikitika kukaacha kabinti kangu bado kadogo sana kananihitaji ....baba yake najua baada yamuda angeoa :wink2:
sijui BAGAH atakimbia ?
umeshasoma historia ya Sauli(aliyekuja kuitwa Paulo)??
Kuna akina Baraba aliyeachiwa badala ya Yesu?
Haya mambi si ya kuhukumu kirahisi hivyo.
"Once a freemason always a freemason"
Inaelekea leo umepigwa neno la kufa mtu kanisani
na limeingia kweli.
kwa maelezo haya, basi ungekubali kwa shingo upande. Kwa mantiki hiyoungepewa uhuru wa kuchagua basi usingekubali..
Aisee nifikishie salamu zangu kwa kabinti kako..
salam zimefika TANMO
Kwanza kabisa angezimia kwa mshtuko, kisha akinyanyuka angeulizia uwezekano wa kuhonga ili asichukuliwe, vyote vikishindikana hizo mbio zake sizipatii picha... Lol
hahahaha wala sijaenda church leo Kongosho..labda nimeanza kupata upako
Weekend yangu iko poa namshukuru mungu, swali lako gumu afu linatisha firstlady1.bora umemwambia wewe sweetlady,,weekend yako iko vip?
Na je kama ww ndo muda unaambiwa habari hiyo utafanyaje ati?
JF tumekuwa tukichit chat ,tukidondokeana mambo ya flirt na mengineyo kibao ..
Lakini je hivi kwa mfano unaulizwa
Kongosho bila mjadala wala nini naitaka roho yako muda huu
hapana mambo ya ooh ngoja nimuage sijui Invisible ,sijui niwaage watoto wangu.
Asprin anakutwa bar na serengeti tano kichwani
Je mko tayari kama itakuwa ndo unakuja kunyakuliwa mida hii??
Na Je unaamini utaingia mji wa amani paradiso siku ya ufufuo..?
Ni ka swali tu kamenijia..
Weekend yangu iko poa namshukuru mungu, swali lako gumu afu linatisha firstlady1.
Kuna kacheo kangu ka zamani....wacha nikatafute....
ka cheo ka baba mchungaji?
Saint RR???Kuna kacheo kangu ka zamani....wacha nikatafute....
Hadi umenitisha yaani... Ngoja nitafakari will be back!