Je uko tayari hata kama itakuwa sasa.......?

Je uko tayari hata kama itakuwa sasa.......?

Ashadii mie ningeomba nafasi nyingine hapa pagumu...sijui mtoa mada yeye angechukua hatua gani?


Dear, sidhani kabisa kama kuna option ya kuomba nafasi nyingine.... nina wasi wasi... hahaha... Wewe hapa ni kubanana na kufikiri hasa nini ungefanya... I think the best soln hapa ni kuomba kupewa nafasi ya kupiga magoti na kutubu.

Hata hivo mtoa mada aje na yeye atuambie inakua vipi.
 
Kama jina lako lipo hapa basi Paradiso huwezi kwenda
1.Kikwete
2.Malima
3.Ndalukacho
4.Riz1
5.Mzee wa Upako
6.Rwakatare
7.Mwingira
8.

Nime vutiwa na majina uliyo andika,ingawa sijavutiwa na hukumu yako.
Nime vutiwa kutaka kujua kwanini ume wataja hao.
 
FL1, kwenda paradiso ni kwa neema ya Mungu. It's a daily struggle, unaanguka, unaamka, unaendelea na safari.

Kuna wachache wanaopata bahati ya kufunuliwa saa ya kuondoka kwao na wanaongoka.

Dah, hili swali zito sana hili.
Anyway asante kwa kutukumbusha.

Asante sana,love it.
 
Kusoma uzi kama huu unajiongezea hukumu mana utaulizwa tena ulisoma ukapuuzia..khaaa mi nalala zangu.
 
Niko tayari kwani tunaambiwa tuwe tayari muda wowote kwani hatujui muda wala dakika..
 
JF tumekuwa tukichit chat ,tukidondokeana mambo ya flirt na mengineyo kibao ..
Lakini je hivi kwa mfano unaulizwa
Kongosho bila mjadala wala nini naitaka roho yako muda huu
hapana mambo ya ooh ngoja nimuage sijui Invisible ,sijui niwaage watoto wangu.
Asprin anakutwa bar na serengeti tano kichwani

Je mko tayari kama itakuwa ndo unakuja kunyakuliwa mida hii??

Na Je unaamini utaingia mji wa amani paradiso siku ya ufufuo..?
Ni ka swali tu kamenijia..

Kaswali kazuri sana. Naungana na tama hapo juu.
 
Nime vutiwa na majina uliyo andika,ingawa sijavutiwa na hukumu yako.
Nime vutiwa kutaka kujua kwanini ume wataja hao.

Kama swali lako likijibiwa kwa ufasaha basi tutegemee kujua mengi tena ya kusikitisha na kutisha pia.
 
Haraka haraka naziona negative nyingi sana...niotahitaji sana dua zenu.
 
hahaha..... Ndio ujue hakuna wa kupona....lol

Wewe vipi dear?

hahaha Ashadii yaani nimecheka mie unajua kwenye maandiko yesu aliswambia wale kina mama wajililie wao na nafsi zao

hehe.
 
Niko tayari kwani tunaambiwa tuwe tayari muda wowote kwani hatujui muda wala dakika..

barikiwa sana ila kwa hapo ulivyokunja sura kwenye avatar inaonekana una hasira sana tama
 
Ukisoma swali kwa makini linaonyesha anaulizwa Kongosho. Sasa mbona members wengine mnajibu swali la mwenzenu? ANY CANDIDATE MUST READ CAREFULLY IN ORDER TO KNOW VERY WELL ALL INSTRUCTION BEFORE STARTING EXAMINATION. Question number one must answer by KONGOSHO only, other candidate dont answer this question. Wote mliojibu mtapata UMWANA ASHA, kama mnabisha subirini matokeo.
 
Back
Top Bottom