Je, hivi ndiyo kuwa option na manipulated na mwanamke?

Kisalilo

JF-Expert Member
Apr 17, 2020
1,882
2,109
Wenye ujuzi na masuala ya mapenzi mje mtupatie ushauri sie tunaojiingiza na kutoka kwenye mahusiano

Mfano ulikuwa na mpenzi wako mkaachana kwa madharau na kejeli hadi kufikia hatua ya kublockiana kwenye simu

Ikaja kutokea situation mkakutana mkabadilishana number mkaanza wasiliana kidogo kidogo sana ila akawa kila mkiwasiliana analeta story za saivi nina MUME hata hujamuuliza unazipotezea tu ila anakomaa tu kukwambia

Anakudadisi kama una mpenzi unamficha na anakuwa anafutilia akiona umesimama na una mazoeana na mwanamke lazima atakuambia naona sikuizi pale unaishi unampotezea

Sasa tatu lililokuja kunishangaza ni last week simu zake kuja kwangu zmekuwa nyingi sana kuuliza ata vitu vya kipuuzi tu ila juzi ndiyo ulikuwa kali kuliko kanipigia simu usiku wa saa 5 anadai hayupo sawa kama sintojali tuongee nae kwa mda kuna kitu anataka kuniambia kweli nikampa mda nikamsikiliza lakini icho kitu hakuniambia alidai tu ipo siku ataniambia ila sio leo nikajitahidi animbie ila akakataa

Kesho yake tena simu akapiga na kesho yake tena story kubwa ni kudadisi mipango na malengo yangu na kuniambia mipango yake je kwa wale mliosoma CUBA mnadhani uyu mtu anasumbuliwa na kitu gani kichwani na akili mwake je ameniona mimi ni CHEAP sababu niko ACCESSIBLE au amenifanya OPTION

Naombeni wataalamu muje kutoa muongozo
 
Hahaha Mkuu Hata kama umesoma Mbagala Rangi tatu au mbezi Tanki bovu hapa lazma utaelewa anataka nini 😅😅
 
Uyo anataka rungu la jelaa tyu usimcheleweshe mkuu utanikumbuka
 
Back
Top Bottom