Je, ukimya wa Lulu ulikuwa na kitu kweli?

So aliamua kutulia na Kanumba ? Pengine walikuwa na mipango mikubwa kimaisha,kwa sababu hata Kanumba nae skendo zilikuwa NIL.
Maskini la kuvunda halina ubani !!!
 
Kanumba kumbe alikuwa anakatafuna haka katoto..aise!
 
Bahati mbaya zingine hizi...bado ana nafasi ya kuwa binadamu mwema tu. Lakini ndo hivyo tena! Lazima apasi mtihani huu uliopo mbele yake.

kwel lulu yupo katika wakat mgumu xana kwa xaxa,,,'suala la yy wa2 weng kumraumu liko waz kabisa...'kila pembezon mwa tz wa2 wamesikitishwa xana na msiba huu...'pole xana lulu bur naamin hak ya m2 haipotei na kama itapotea n mda mchache 2 utarudishiwa..,ajipe myo coz ni sehem ya maisha..
 
Back
Top Bottom