The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
Habari wadau,
Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.
Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga.
Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa kutoka kwenye shimo.
Kwakua nilikua na kisu mkononi nikafanikiwa kumkata mkiani kwa kutumia kisu kama inavyoonyesha hapo kwa picha.
Bahati mbaya akakimbia lakini yuko ndani ya uzio.
Sasa nawaza je ataendelea kuishi huyu mdudu
Wajuzi Naombeni maarifa yenu