Online course wanayoitoa UDSM ni Master of Engineering Management (Project Management) (MEM -PM), Postgraduate diploma of Engineering Management na Postgraduate Diploma ya Education (Chang'ombe). Hii kifupi ni Hybrid course ikimaanisha mnafundishwa online (Zoom) lakini katikati ya ya semister mnaenda two weeks kwa ajili ya face to face na kufanya majaribio. Mwishoni mwa semister pia mnaenda face to face week 2 kabla ya mtihani na wakati wa UE mnafanya same Examinations na watu wa full time na evening.
Kwa degree program yako MBA, best option ni Arusha Institute of Accountancy. Huko utapata Hybrid/ online with face to face kwa course za MBA na Project Management.
Note: MEM - PM kwa UDSM inachukuliwa kama mbadala wa MBA lakini kwa watu waliosoma engineering au natural science degree yoyote unapata admissions. Hii ina management courses za kutosha pamoja na some business courses lakini iki specilize kwenye project management.
Lakini pia kama wahitaji sana MBA (with any of it's specialization), basi soma executive mode ambayo utakuwa unakuwa kazini, muda flani unaenda weeke kadhaa kusoma then unarudi kazini/ kwenye majukumu yako.
Hope nimekusaidia.
Asante.