Je, Tutegemee tena kilio kwenye ufunguzi wa barabara ya Morroco-Mwenge

Kwa hiyo Mkatoliki akiharibu aogopwe kisa dini yake
Mnaanzisha mada halafu mnainyea mwisho

Chuki zinakuumiza kwa hiyo wewe unapofanya kazi inakuuma unapoona kuna mlokole au muislam kakuzidi elimu au cheo sio
 
kwaiyo kwakuwa wakatoliki Wala nguruwe wasitumbuliwe??

ndiomaana wenye akili tushajua kuwa mnamchukia Samia sababu ya dini yake, ingekuwa amri yenu mlitaka Nchi iongozwe na mkristo ili itamalaki utawala wa Roho mbaya na ufisadi,

Nchi akiongoza muislamu inatulia na watu wanakuwa na amani ya moyoni hata wasipokuwa na fedha,,

#Acheni udini, Tanzania ni ya Watanzania wote,isifike wakati dini au kabila Fulani ikajiona yenyewe ndio Bora zaidi ktk kuongoza
We BOYA inaonekana kitimoto inakuuma sana??? Hivi nani NANI KAKUKATAZA kula???

Kweli UJINGA ni mzigo....!!!
 
Hajui unaweza ukawa mkatoliki kwa kubatizwa lakini ukawa wakala mkubwa wa shetani udini ni mambo ya kizamani sana Mimi pamoja na ukatoliki wangu lakini kama wanafanya madudu wahukumiwe kwa jinsi walivyotenda maana uumini wa dini unatutaka tutende yaliyomema na yanayompendeza Mungu.
 
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco.

Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi.

Je Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee?

Je Hata Wajumbe Wa Bodi Ya Tanroad Pia Wataliwa Kichwa.

Kumbuka Wenyeviti wa Bodi Zote Mbili Waliotumbuliwa ni Wakatoriki.

Kula Mtori Nyama Ziko Chin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwe mwe mwe! Hakuna hata picha!! In Sengo's voice😂
 
Barabara murua kabisa ile sema zile traffic lights za kona ya Chato ndio michosho!
Kuna umurua gani hizo 2 lanes baada ya miaka 2 tatizo litakuwa pale pale ebu google uone barabara za Nairobi zinavyojengwa utaona tuko nyuma sana
 
Miaka ya michache iliopita ilikua kuwampinzani waserikali inachukuliwa kama mtu mwenye akili Sana msomi mwenye kujua Mambo yasheria katiba namfatiliaje mzuri wamambo yaserikali kiasi chakuweza kutambua dosari.

Sikuhiz tunafuatlia wakatolik nawaislamu, wachaga nawasukuma ndio kitu kilichobaki kwenye wapinzani
 
Back
Top Bottom