Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020.

Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama.

Wengine wanasema is WEAK and COWARD, wengine wanasema, ni wakala wa mabeberu hivyo baada ya kushindwa vibaya na mpinzani wake John Magufuli (CCM) karudi kwa waliomtuma.

Kila asiyempenda Tundu Lissu hususani wafuasi wa utawala wa CCM chini ya Magufuli, anasema lake ili mradi kuhalalisha fikra, hisia na mawazo yake potofu yasiyo na "proof" yoyote.

Naleta kwenu hoja hii iliyo katika mtindo wa maswali mawili ili tuweze kujadili kwa pamoja kwa kuzingatia historia ya mwanadamu ya kupambania Ukombozi na Umhuru wake tangu kuumbwa kwa mwanadamu huyu na viambata vyake, yaani ULIMWENGU - ardhi, anga na maji na vilivyomo ndani ya vyote hivi.

NINI MAONI YANGU MIMI, THE PALM TREE?
Tundu Lissu is neither WEAK nor COWARD.

Tundu Lissu hajakimbia mapambano, bali anayaendeleza kwa ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI. If you don't believe now, wait and see.

Tundu Lissu hajawaacha "solemba" mamilioni ya wafuasi, mashabiki wake na wanachama wa CHADEMA waliomuunga na wanaendelea kumuunga mkono katika harakati za ukombozi wa pili wa nchi hii nzuri ya Tanzania.

KWA SABABU GANI?
Kwa sababu katika medani ya ya vita na mapambano jambo la kwanza ni kufikiri na kulizingatia ni hili;

Okoa maisha yako by all means possible, angamiza maadui kila mwanya unapotokea kwa kutumia silaha ulizonazo!

CASE STUDY: YESU KRISTO

Kwa wasiomtambua huyu mtu, mtanisamehe kumtumia kama mfano kujenga hoja yako.

Ni kwamba Yesu Kristo ni mwanaharakati mmoja mkubwa na wa kipekee kuwahi kutokea katika historia ya ulimwengu huu...

Alipigania UHURU na UKOMBOZI wa mwanadamu katika namna ambayo ni ya kipekee sana na ikagharimu maisha yake...

Kwa "uanaharakati wake" wa HAKI ZA BINADAMU alijikuta ni adui namba moja wa tawala za kibinadamu za nyakati hizo, mpaka leo dhidi wote wale waliobeba imani na itikadi yake.

Alikuwa ni tishio kwa watawala binadamu dhalimu. Na tishio hata leo. Solution yake ilikuwa ni lazima AUWAWE.

Kwa sababu hii, majaribu kadhaa ya KUUWAWA kabla ya kusudi na lengo lake kutimia yalifanyika unsuccessfully...

Mara zote aliyakwepa kwa kukimbia na kujificha mahali kwanza huku akipanga mikakati mipya ya kupambana na adui...

Kwa wanaoijua ama kuisoma historia ya mtu huyu wa kipekee (mwana wa Adamu), ni kuwa mara baada ya kuzaliwa tu, watawala wa serikali za kibinadamu walitambua kuwa utawala wao na maslahi yao yako hatarini kwa sababu ya huyu jamaa..

Wakapanga mikakati ya kumuua angali mtoto kabisa. Wazazi wake wakataarifiwa kuhusu mpango huo...

Wakamtorosha mtoto na kwenda kujificha mahali. Sina hakika kama alikwenda kwa "mabeberu" japo walisemasema hivyo...

Watawala kwa kutojua alipo, ilitolewa amri na Rais (Herode) wa nchi hiyo wakati huo, watoto wote wenye umri kati ya miaka 0 - 3 nchi nzima wauwawe. Ikawa vile.

Masikini, mamilioni ya watoto wasio na hatia nchi nzima wakauwawa kwa sababu ya kulinda kile kilichoitwa na watawala "maslahi ya nchi" lakini ukweli ukiwa siyo kabisa bali ni kulinda "maslahi ya viongozi/watawala" tu.

Kutokea hapo kukawa na "series " ya majaribio ya kuuwawa kwa mkombozi na mwanaharakati huyu. They all failed spectacularly..

On the other hand, kifo ndiyo ilikuwa "njia ya ukombozi" iliyopangwa kutumika kumkomboa mwanadamu kutoka ktk kongwa la utumwa la utawala wa kidikteta wa mwanadamu usio haki...

Lakini ilikuwa si kwa namna waliyotaka watawala bali kwa namna ilivyopangwa na Mungu muumba mwenyewe...

NINI KILITOKEA?
Kuepuka mitego ya watawala ya kutaka kumwangamiza Yesu Kristo kabla ya wakati wake ilikuwa ni mkakati kufikia lengo la ukombozi..

Hiyo haikuwa kutelekeza wapenzi na wafuasi wake...

That wasn't a sign of WEAKNESS and COWARDNESS.

Kwenda kuishi uhamishoni haikuwa kuwaogopa watawala wala siyo kutumika na waliompa hifadhi...

Hiyo ilikuwa, a way to the victory.

Hivyo basi, kwangu mimi naamini VITA hii ya ukombozi wa taifa hili kwa kumtumia Tundu Lissu mtu jasiri kabisa, inaendelea na itakwenda hata kuufikia ushindi....!!

Watawala hawa, deep inside their heart wanajua na kutambua fika kabisa kuwa THIS MAN IS STILL A THREAT TO THEM THAT WILL EVENTUALLY TURN TO REALITY..

Hawana AMANI, hawana UTULIVU WA NAFSI, nia zao zimejaa ULAGHAI na UJANJA UJANJA...

Pamoja na kwamba, hayuko hapa nchini, wataendelea kumtafuta hadi (labda) lengo lao la kumfuta duniani litimie...

Hata hivyo, maadui hawa wa HAKI wako so desparate. They know exactly kwamba, mwisho wao uko karibu na pua zao. Na obviously hautakuwa mwisho mwema..!

Kila la kheri Tundu Lissu huko uhamishoni!
Ni kamanda huyo .. wanajeshi wanapigana vita ili waishi kupigana siku ingine .. hujui
 
Amekwenda kwa mabasha wake maana walimis tigo yake
 
Ccm tutaendelea kuwanyoosha!Mpaka sasa bado tunawazidi nguvu mitandaoni so hii ni wazi kabisa upinzani uko katika mioyo ya watu na wala upinzani hauwezi kufutika!
Dogo madictators hawana ujamaa...nilikutana na mzee mmoja Mcongo Ulaya aliniadithia ukaribu wake na Mobutu ila mwisho wa siku alikuwa anataka kumuuwa akakimbilia Ulaya...Kauwa upinzani wa nje sasa wataumia wa ndani ya CCM
 
Inaonesha upo kijijini hata yanayoendelea nchini hujui, au nyie ndio wale gazeti la j3 mnasubiri mpaka ya fike weekend ndiyo myasome

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kijiji cha Tanzania cha leo, kutokana na maendeleo yaliyoletwa na CCM chini ya Rais Magufuli wa AWAMU YA TANO, MUHULA WA KWANZA, hayana tofauti na ya kwenu mijini au majijini. Ndiyo maana unaniona na kunisoma humu JF. Leteni HOJA SIYO VIHOJA nyie wa mjini; HOJA nzito zenye maana na mantiki on all issues, ikiwa ni pamoja na hii ya Lissu kuikimbia nchi akidai ametishiwa maisha.

Hivi mkipigiwa simu na any conmen basi mnaogopa na kudai mmetishiwa maisha na kisha kuikimbia nchi! Mnatia AIBU sana kwa UOGA huo, tofauti na mlivyokuwa mnalopoka majukwaani. Kumbe ilikuwa nguvu ya soda ya BOB!
 
Tundu Lissu hajakimbia mapambano, bali anayaendeleza kwa ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI. If you don't believe now, wait and see.
"ukombozi" haupatikani twitter,lissu ni mchumia tumbo na msanii tu
kama alishindwa kupata urais akiwa Tanzania,ni vigumu sana kwake kuupata akiwa ubeleshi
Urais sio sawa na stesheni ya redio,kwamba unaweza kuupata kwa remote control
 
Back
Top Bottom