Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

Yesu alikuja kuwakomboa watu waovu ili watubu wapate kuingia ufalme wa Mungu.
Lakini Lissu anapigania vitu vya dunia tofauti na Yesu Kristo.
Na alisikika akimkejeli Mungu aliposema Raisi Magufuli a learned and qualified scientist anamuomba Mungu kupambana Corona badala ya kujikita kwenye sayansi kupambana na Covid-19
 
"Uovu" ni nini?

Na "sayansi" ni nini? Imetolewa na nani?

Ukiweza kuya - define na kujibu kwa ufasaha hizi terms mbili, naamini utarudi haraka kufuta hiki ulichokiandika..

Kwa kifupi huwezi kutofoutisha "kipaji cha ugunduzi" a.k.a sayansi kilichowekwa na Yehova mwenyewe ktk akili za watu na yeye Mungu - Yehova...

Kwa hiyo madaktari na matabibu wote wako kwa ajili ya Mungu na wanatenda kwa niaba ya Mungu..

It's all the same. Mungu - Yehova ndiye aamuaye njia ya uponyaji kwa mtu/watu wake...
 
Nitakapo tofautiana na chadema yangu ni hapa kwenye "kuitumia ulaya" kama uwanja wa mapambano kuikomboa Tanzania.Hapa am not judging ila kiukwel bado sijasoma vyema motive ya Lisu na cdm kwenye hili na sina hisia nzuri kabisa
 
Acha longolongo za Yesu Kristo kama case study. Tupe case study current za viongozi kama Lissu waliokimbia nchi zao baada ya kushindwa kwenye Uchaguzi Huru na Haki na wakawekwa madarakani na "mabeberu".
 
Yesu akuwa kibaraka wa mashetani.
Yesu akuwa anategemea mashetani kwenye harakati zake.
Yesu akuwai kukimbilia kwa mashetani.

Mnajiribu kuziba madhaifu ya Lissu kwa namna yeyote, lakini mnashindwa kwasababu mambo yapo wazi.
 
Bandiko lako ni refu sana. Labda niulize kwanza ili nikiridhishe kama ni worthwhile Juliana kote:

1. Bandiko linatambua kuwa wafuasi wa Lissu wanajua kuwa hawajatelekezwa?
2. Bandiko linajua kuwa wafuasi wa Lissu wanathamini sana uhai wake unaotishiwa na mkoloni mweusi?
3. Bandiko linatambua kuwa mishale yote ya ndani na nje ni muhimu kwa vita hii endelevu dhidi ya mkoloni mweusi?

Hayo kwanza.
 
Mbona wanaccm wanalalamika sana kumkosa Lissu! Walikuwa na ajenda gani dhidi ya Lissu baada ya uchaguzi?
 
Hahaha mnahangaika sana, uchaguzi ukirudiwa nitamuunga mkono na kumpigia kura Tundu Lissu tena.

Bora kumwaga sukari ziwa Victoria kuliko kuwapigia makofi ccm.
 
Vp kuhusu kura milioni 12 alizosema atapewa magu na kweli ikawa?
Utabiri wa hizo kura milioni 12 ulitokana na kazidata/kanzidata (data base) ya wanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI pamoja na wapenzi na mashabiki wake. Makadirio hayo yalikuwa sahihi kufutana na nadharia ya chaguzi kuwa huwa hakuna siku zote 100% turnout kwenye uchaguzi.
 
Huyu jamaa si alitaka Watanzania tuwe mashoga ili tuendelee kupokea misaada ya wazungu kama yeye au siyo yeye huyu? Liacheni likapakatwe huko kwa mabwana zake.
 
Utabiri wa hizo kura milioni 12 ulitokana na kazidata/kanzidata (data base) ya wanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI pamoja na wapenzi na mashabiki wake. Makadirio hayo yalikuwa sahihi kufutana na nadharia ya chaguzi kuwa huwa hakuna siku zote 100% turnout kwenye uchaguzi.
Jumlisha na yale maburungutu ya kura ya kwenye mabegi ambayo wananchi waliyakamata lkn walipotaka kuyachukua polisi walidai ni vielelezo hivyo waachiwe wao

Yajayo yanachekesha

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Haya maneno kama ya Rais Trump, ambayo hata wanasheria wake wenyewe wanaona hayana mashiko! Vivyo hivyo nyie pamoja na Lissu, kweli Lissu na ninyi mngekuwa na huo ushahidi wa uhakika, MNGESEPA na kukimbilia Ubelgiji!? Wacheni mambo hayo humu JF, mnatuchafua tu! Jipangeni from Europe for 2025, vinginevyo KAENI KIMYA.
 
Inaonesha upo kijijini hata yanayoendelea nchini hujui, au nyie ndio wale gazeti la j3 mnasubiri mpaka ya fike weekend ndiyo myasome

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
"Uovu" ni nini?

Na "sayansi" ni nini? Imetolewa na nani?

Ukiweza kuya - define na kujibu kwa ufasaha hizi terms mbili, naamini utarudi haraka kufuta hiki ulichokiandika..

Kwa kifupi huwezi kutofoutisha "kipaji cha ugunduzi" a.k.a sayansi kilichowekwa na Yehova mwenyewe ktk akili za watu na yeye Mungu - Yehova...

Kwa hiyo madaktari na matabibu wote wako kwa ajili ya Mungu na wanatenda kwa niaba ya Mungu..

It's all the same. Mungu - Yehova ndiye aamuaye njia ya uponyaji kwa mtu/watu wake...
Hatuwezi kuelewana kwani tuko parallel, Different schools of thought.
 
Siasa za tz ngumu sana, chama cha siasa kinapambana na tume ya uchaguzi, halafu watu wanaaminishwa ni mapambano vya vyama vya siasa.
Mara nyingi majaji wastaafu ni balaa sana, walikula raha wakiwa kazini, walipostaafu wakaonja mazingira halisi na ugumu wake, sasa wakiteuliwa da ni shida, kote , kwenye makoti yao rushwa,unafiki uwoga,uonevu, tunayaona kwenye mabaraza ya ardhi, tume, nk!
 
Kwa hiyo amekwenda kwa wazungu kuomba msaada ili ashinde? Hii ndiyo demokrasia na haki inayotafutwa yeye?
 
Back
Top Bottom