Je, Tunaweza Kuwa Marafiki!?

Rafiki Wa Dhati Nakuomba Nikopeshe 5k Tafadhali 5k TAFADHALI Sina Kitu Leo An Hata Ya Kula Sina
Naomba Rafiki Mwenye 5k Aniwesaidie Tafadhali Sina Kitu Kabisa Leo An Naomba Tafadhali
 
Urafiki ni ama maua huweza kumea popote. Lakini kwa kipindi hiki kilichojaa gilba, unafiki na "kuoteana"; mtu akikuonesha dalili za kuwa ni rafiki au anataka kukuza urafiki baina yako na yeye huna budi au inakulazimu uwe mwangalifu sana. Wanasema Tahadhari kabla ya Hatari. Urafiki(sio mahusiano) umetumika kuwaumiza baadhi ya waliokubali/ridhia urafiki wakidhani ni jambo jema kumbe kuna mmoja alikuwa na lengo ovu na akatumia njia ya kujifanya ni rafiki yako ili aweze kufaulu katika nia yake mbaya dhidi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…