jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 511
Je, unaweza kua kama kunguru kwenye swala la mahusiano?
Binafsi ziwezi aisee niwe tu mkweli [emoji3]
Binafsi ziwezi aisee niwe tu mkweli [emoji3]
noma sanaHii Kali sana aisee
It means huyo mjane au mgane atavumilia genye wakati wote wa maisha yaliyobaki duniani?![emoji23][emoji23]noma sana
Nadhani huo ndy ulikuwa mpango wakeYou must see this. Mustn't you? [emoji16][emoji16]
Turudi kwenye mada je lilikuwa kusudio la Mungu ya kwamba binadamu awe na mtu mke mmoja tu?
[emoji3][emoji3]Ndio maana waoga sana kumbe wanaogopa kuwaacha wenza wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inawezekana... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Ngapi hukoo? Soma kwenye ramani injiniaaa.😂😂😂😂😂😂we injinia soma hiyooooo!