Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Apumzike kwa amani🙏Dah maskini....!! Kuna kunguru hapa alikuwa na kijidonda mguuni kajipendekeza kusimama kwenye nyaya ya umeme, kilichompata kamuacha mwenza wake mpweke, rest in peace kunguru, mwenzio yupo katika majonzi makubwa mnoo, atakukumbuka daima.