IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
hili vazi la taifa lingepata sapoti kubwa sana kama uanzishwaji wake ungeweza kuchochea kupunguza matatizo tuliyo nayo mfano mfumuko wa bei na vitu kama hivyoHivi nasikia vazi vazi la taifa hiv lina umuhimu gani?kwasababu watanzania wengi sidhani kama litachochea uzalendo.uzalendo unatakiwa kuanza na watawala kwanza.au ndo mambo ya posho?
Naunga mkono hoja yako asilimia mia. Nimangalia mjadala live ITV hivi karibuni wakijadili aina ya kitambaa ambacho kitatumika. Hapo ilibidi nibadilishe channel kwasababu unajadili kitambaa/rangi wakati hapa nchini hatuna viwanda vya nguo vya kutengeneza vazi hilo! Vitambaa tunaagiza nje na hivyo ili kushona vazi hilo, WTz itatubidi kutumia fedha zetu nadra za kigeni kununulia. Hii haiingii akilini kabisa. Una anzisha vazi la taifa kwa kutegemea vitambaa vya kuagiza nje ya nchi! Huko ambako tutaagiza kitambaa hicho wakiamua kutuhujumu au kutotengeneza itakuwaje?Toka mwanzo niliposikia suala la vazi la taifa, nilijua tu ni usanii wa watu kula hela. Sasa hivi wakiwa bado mwanzoni wameshaonyesha failure nyingi, ikiwemo ya kuamua rangi za vazi. Yan kama hawajui, niwajulishe tu kuwa Watanzania tumeshawagundua, kuwa wanakula ela. Hakuna cha maana watakachofanya.
Siyo Kusaga peke yake bali na akina Merinyo ambao wanatafuta jinsi ya kutoka baada ya kufulia ile mbaya.Sitashangaa wakiibuka na vigauni vya ngozi kama anavyovaa Mpoto kutuambia ndo vazi la taifa.
Kihistoria hatuna vazi la taifa. Kuna baadhi ya makabila yana mavazi ya desturi; mfano wazee wa kihaya wanavaa kanzu na kofia za pama, wamasai, wamang'ati n.k wanavaa rubega, watu wa pwani wanafunga msuli, wamama wanatanda kanga n.k.
Narudia tena, kinachofanyika sasa hivi ni usanii tu wa akina Kusaga kula kodi zetu. na Mungu atawalaani.
Siyo Kusaga peke yake bali na akina Merinyo ambao wanatafuta jinsi ya kutoka baada ya kufulia ile mbaya.
Na wka kuonyesha ni wizi zaidi, awali tuliambiwa kuwa kamati iliyoteuliwa na Waziri ilikuwa ni ya kukamilisha mchakato. Lakini matangazo wanayoyatoa na kazi wanazozifanya zinaonyesha kuwa mchakato ndio unaanza mwanzo!Toka mwanzo niliposikia suala la vazi la taifa, nilijua tu ni usanii wa watu kula hela. Sasa hivi wakiwa bado mwanzoni wameshaonyesha failure nyingi, ikiwemo ya kuamua rangi za vazi. Yan kama hawajui, niwajulishe tu kuwa Watanzania tumeshawagundua, kuwa wanakula ela. Hakuna cha maana watakachofanya.