Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Najua uzi huu utafutwa ila nami niungane na watanzania wenzangu kumpa pole Mrisho Mpoto..
Namkumbusha pia kifo ni kifo tu..
Uchungu huu unaopata sasa ukukumbushe kuwa familia ya Kibao, Mdude, soka n.k
Nao wamepitia tena bora yako wewe umeona mpaka maiti ya mke wako ikiingizwa kaburini..
Ni kweli huhusiki na hayo yote..
Lakini kwasababu na wewe ni mmoja wa wawasifiaji wakubwa wa Sisiemu basi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu..
Ni bora ugali tembele na kuishi kwa amani kuliko pilau nyama na masimango..
Pole mkuu Kifo ni kifo tu