Je, Tumeikosa Huruma Yetu ya Kibinadamu?

Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
Msiba wowote wa kufa au kufiwa Chawa au kiongozi wa CCM ni Furaha na vifijo Kwa sisi tulioonja dhuluma,ukatili,na Kila aina ya manyanyaso.
Fikiria mtu anatekwa na kuuawa halafu mfariji mkuu anasema kifo ni kifo tu na maneno kibao ya kuumiza,unatarajia umoja wa kitaifa utaimarika?
 
Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
IMG-20250716-WA0005.jpg
 
Huko Twitani watu wanampika Mjomba 😃
 
watanzagiza bado ni “watoto” sana kwenye mambo ya kidunia, msiba ni jambo binafsi, ni private, msiba wako mimi haunihusu na siwezi kuguswa kama ulivyoguswa wewe, sasa ukielewa huo ukweli basi utafanya msiba wako private na kuwashirikisha wale tu ambao unawahusu kwa maana wataguswa nao.

hivyo kwa hali ya kawaida hata makaburini hakupaswi kujaa watu kuja kuzika isipokuwa wachache tu wana familia ya karibu na marafiki wa kweli ambao ni wachache wa marehemu, basi, lkn kama umepata msiba halafu unategemea huruma ya dunia nzima unajidanganya na wewe utakuwa ni mtoto usielewa binadamu tulivyo ndiyo maana huwa nashangaa mtu anafiwa anakuja kutafuta huruma na pole hapa jf ili iweje sasa ?

narudia msiba wako ni jambo lako binafsi na mimi kama mtu wa mbali na hatujuani haunihusu na sina jukumu la kulia na wewe …
 
Ndivyo ilivyo, mtu wa mbali kamwe hawezi kuguswa na msiba wako. Hivyo ukifiwa jua ni msiba wako na wengine Wataona kama hadithi, watu wengi sana wamekufa na Bado wanaendelea kufa, mfano Gaza Kuna jumla ya watoto 50,000 Hadi Sasa waliokwisha kuuliwa na Israel, just imagine tena ni watoto tu hao nk.

Hivyo msiba utabaki kuwa wako wewe unayeujua uchungu na huzuni.
 
Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
mkuu hapa ulilenga kuandika ayaa ya mwisho. ila umeiweka kitaalamu sana.
 
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pemki
 
Siku hizi hata privacy kwenye msiba hakuna. Kuna content creators wanatumia misiba kujitengenezea hela wala hawana hata remorse kwa wafiwa.

Wana publish tu vitu wanavyotaka hata kama ni vya ukweli au uongo. Inaumiza wafiwa kuona ndugu yenu anakuwa publicized visivyo na hakuna mtu anakuwa held responsible.
 
Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.

Ni wazi tumefika huku kwa sababu watu wameumizwa ba wanaumizwa sana, zaidi ya yote viongozi ambao ndiyo wanategemewa kuwa walinzi, wafariji au watetezi wa wananchi hawafanyi lolote ni kukaa kimya tu.

Watu wanalia na kubeba maumivu makali mioyoni mwao.

Kwa hiyo wale wanaoonekana kuwaunga mkono au kuwasifia hao viongozi wamekuwa kama maadui kwa wanaoteswa. Hivyo wakipata Majanga yoyote usishangae kuona wengine wakishangilia ama kufurahia.

Taifa linahitaji viongozi wenye hekima ili waweze kuliponya na kuliunganisha taifa. Taifa letu limegawanyika sana.
 
Kifo ni kifo tu, kila mtu anafiwa. Maneno ya Mama yao huyo.

Alale mahala pema Mzee Ally Kibao, hatujui walimtoboa macho, akiwa hai ndiyo wakamuuwa. Au walimuuwa ndiyo wakamtoboa macho. All in all amepitikia kifo cha uchungu bila hatia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom