Nimepata mtihani mkubwa katika suala hili.Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
Watanzania wanatumia fursa hii kumpika vilivyo mjomba! Kwa hizi comment kama una pressure lazma udondokeTunafikia huku kwa mengi kama jamii, inatupasa tukumbuke pia kuwa jamii ni sawa na kioo mbele ya kiongozi yoyote duniani.
Hebrews 13:17
Pole Mjomba
Mkuu kwamba tuanzishe Sensa ya kujua vitega uchumi vya machawa wote nchi mzima?🤣🤣🤣🤣(Nisameheme kwa kicheko,kimekuja tu wala sijakiita)Nimepata mtihani mkubwa katika suala hili.
Kwa sababu kanuni zangu mbili zinazoniongoza zimegongana.
Kanuni hizi ni upande mmoja, kuwa na empathy kwa watu walio na matatizo. Kwa kanuni hii, napenda kumpa pole nyingi Mrisho Mpoto. Kwa ubinadamu tu, bila kujali siasa.
Lakini, kanuni yangu nyingine ni kuacha watu wafanye mambo kwa uhuru na kujieleza watakavyo. Kwa kanuni hii siwezi kuwasema wanaombeza Mrisho Mpoto katika wakati huu, kwa kusema "Kifo ni Kifo tu", wakitumia kauli ya rais Samia na kumnasibisha Mrisho na Samia.
Kwa ukweli, ningependa sana kuona Tanzania tunafanya siasa za kukosoana kisera, kifalsafa, kisiasa, na huko kwenye mambo social kama misiba na harusi tunaungana vizuri tu.
Lakini pia, nafahamu kwamba ni vigumu kuwaambia watu waliokandamizwa sana, waliotekwa sana, walioumizwa sana, wafanye civilized politics.
Hitimisho langu nimeona haya ni matokeo ya watawala kushindwa kufanya kazi ya kuwaunganisha wananchi. This is a case of the chickens coming home to roost. What goes around, comes around, what is good for the goose, is good for the gander.
Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Ila pia, kuna haja ya watu wanaotaka mabadiliko kuji organize kama wanataka kususia mambo, wasusie mambo ya kiuchumi kwa wote wanaowaona hawasimami kwenye haki.
Wafanye boycott kwenye mambo ya uchumi, wasusie kununua bidhaa za wafanyabiashara walio enablers wa wanasiasa wasiosimamia haki.
Hiyo boycott ikiwezekana inaweza kuwa na maana zaidi ya hii ya kuchambana mitandaoni na Mrisho Mpoto ambaye ni mtu mdogo sana na hana impact hivyo katika nchi ya Tanzania.
Naamini wakati anachukua "bahasha" alijiapia moyoni "liwalo na liwe",hapo pressure inatoka wapi wakati alikuwa ameshajiandaa kisaikolojia?Watanzania wanatumia fursa hii kumpika vilivyo mjomba! Kwa hizi comment kama una pressure lazma udondoke
Sijasoma bandiko lote, ila tujiulize aliyetufikisha hapa ni nani?Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
Mnaanza na Big Papas wanaomiliki uchumi na kufadhili mfumo kandamizi, hawa machawa wengine ni "kujichumia dhambi" tu.Mkuu kwamba tuanzishe Sensa ya kujua vitega uchumi vya machawa wote nchi mzima?🤣🤣🤣🤣(Nisameheme kwa kicheko,kimekuja tu wala sijakiita)
Msiba una maana ukiwa kwako kwa wenzio Hauna maana?Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa.
View attachment 3407654
Msanii maarufu Mrisho Mpoto amepoteza mke wake kipenzi — msiba unaogusa moyo wa kila mwenye utu. Lakini mitandaoni, baadhi ya watu wameonekana wakifurahia, wakitoa maneno ya kejeli badala ya pole. Hili linaonesha kuwa jamii yetu inazidi kupoteza huruma, haiba na utu wa kawaida.
View attachment 3407653
Tumefika wapi kama taifa hadi kufurahia maumivu ya wengine? Huruma na utu ndivyo vilivyotufanya tuwe jamii yenye mshikamano, si chuki.
View attachment 3407652
Ni wakati wa kujitazama upya. Kama hatuwezi kusema pole, basi ni bora tukae kimya. Maumivu ya msiba hayawezi kufutwa, lakini moyo wa faraja huweza kuponya. Lakini pia hii iww fursa ya Mrisho Mpoto kujitazama upya na kufikiria haswa kwanini watanzania wamekuwa hivi?
View attachment 3407654
Pole sana Mrisho Mpoto. Tanzania yenye utu bado ipo na ukubali kuungana na watanzania wa hali ya chini — Bi Mariamu apumzike mahala pema.
Hiki kitu nasema kila siku. Kuna wasanii walifika walipo kutokana na uhuru wa habari na uhuru wa siasa. Mpoto alikuwa mkosoaji "kiaina" wa mkwere. Masanja alikuwa anamwigiza Pinda, Kuna Lowassa na komba Hawa walikuwa wakiigizwq na mpoki na wakuvwanga.shida alikuwa hayupo na wananchi ndio faida yake hii.Sasa ajifunze kurudi na wimbo wa shangazi maana wa mjomba tulimuona wa maana sana.
Kwa nini aliposti amefiwa??watanzagiza bado ni “watoto” sana kwenye mambo ya kidunia, msiba ni jambo binafsi, ni private, msiba wako mimi haunihusu na siwezi kuguswa kama ulivyoguswa wewe, sasa ukielewa huo ukweli basi utafanya msiba wako private na kuwashirikisha wale tu ambao unawahusu kwa maana wataguswa nao.
hivyo kwa hali ya kawaida hata makaburini hakupaswi kujaa watu kuja kuzika isipokuwa wachache tu wana familia ya karibu na marafiki wa kweli ambao ni wachache wa marehemu, basi, lkn kama umepata msiba halafu unategemea huruma ya dunia nzima unajidanganya na wewe utakuwa ni mtoto usielewa binadamu tulivyo ndiyo maana huwa nashangaa mtu anafiwa anakuja kutafuta huruma na pole hapa jf ili iweje sasa ?
narudia msiba wako ni jambo lako binafsi na mimi kama mtu wa mbali na hatujuani haunihusu na sina jukumu la kulia na wewe …
Tuambie wewe unaejua alipoSoka we unajua aliko