Je, tulihitaji treni ya umeme zaidi ya mengine?

Je, tulihitaji treni ya umeme zaidi ya mengine?

Nasikitika kuona mawazo ya kupinga sgr tena yakitolewa na watz lakini nalazika kukubari kwamba ni mitazamo yenu tu.nami nina mtizamo wangu.kwanza ni seme tu kwamba sgr hatujapoteza fedha bali kiuchumi ni game changer. Ikumbukwe kwamba reli hii ni ya umeme hivyo tutaweza kusafirisha bidhaa zetu kwa haraka bila kutegemea price fractuation ya mafuta.kwa lugha nyingine tutalocalize uchumi na mahitaji ya dorali ya kimarekan yatapungua.pili biashara ni ushindani wenzetu wakifanikiwa kupeleka sgr toka mombasa hadi kigali kama walivotaka kufanya sisi tukabaki na reli ya mita gauge tutakuwa tumeua bandari yetu hivyo central colido ilibidi iboreshwe ili kuua upinzani wa nothern colidor waliokuwa wamejipanga strategically kuiua bandari ya dar kwa mizigo ya rwanda ,burundi na congo. Unavoamua kusubiri angalia na wenzako wanafanya nini na kitakuathiri vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya maamuzi Bora yaliyowahi kufanywa na CCM au Mh Maghufuli ni ujenzi huu wa STD GAUGE.

Ni miongoni mwa zidumu fikra sahihi za aliyebuni na kusimamia ujenzi. Huuu.

Kilichobaki ni kuulinda na kuuenzi. Usafiri huu wa masaa toka Mwanza mpaka Dar .Tena safari zaidi ya 1 kwa siku.

MWENYEZI MUNGU atupe nn? Jamani tuwe watu wa shukrani uwe unakaa linakopita au lisikopita .Hilo linaenda sambamba na ule mraadi mkubwa wa umeme.

Mungu walinde na wajaalie waliofikiria hayo.
SGR ni mradi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashsriki kuunganisha nchi zote wanachama ns bandari za Dar na Mombasa na uliasisiwa kabla ya Awamu ya Tano pamoja na ile ya Mombasa. Kama kawaida yetu Tanzania ikachelewa kuanza ujenzi ndo wenzetu Kenya, Uganda, Rwanda na South Sudan wakaanza kwa kauli mbiu ya "Coalition of the Willing" wakaitenga Tanzania na Burundi. Wao wamefika mbali sana na watakamilisha mbele sana kabla yetu jambo ambalo litatuadhiri vibaya kiuchumi. Ilikuws ifike Morogoro Novemba 2019!
 
Safi Sana ndo maana ya pongezi na sifa ziende kwa walioamua kwenda na kasi ya maazimio hayo uliyoyaeleza.

Wakati huu siyo wa kulaumu waliotuchelewesha ni wakati wa kupambana na kuwapongeza waliotufikisha hapa kk kuifikia Ile kweli ambayo itatuweka huru.
 
Hoja yako ni nzuri hasa kwa sababu inaonyesha kuwa tatizo ulilonalo ni ujinga ambao unahitaji tu kuelimishwa!

Kumbuka ujinga sio tusi kwa sababu mjinga akielimishwa huelimika lakini mpumbavu hawezi kuelimishwa!

Umeandika, ''Hapa lengo langu ni kuangalia umuhimu WA treni ya umeme kama ni sahihi kwa mazingira yetu ya sasa''!

Hutujengi reli ya treni ya umeme kwa mazingira ya sasa pekee bali pia mazingira ya miaka mingi ijayo. Unaweza kuona haina manufaa kwa sasa kwa sababu faida yake kama reli haiwezi kupatikana kwa sasa lakini uwepo wake unajenga mazingira ya uwekezaji kwa ujumla katika nyanja zingine uwe wa kuvutia.

Kumbuka reli ya kati ambayo unaisifia ilijengwa mwaka 1905 na ninaamini watu kama wewe wa wakati huo walisema hivi hivi kama unavyosema wewe eti ''haifai kwa mazingira ya sasa''

Mwaka 1905 hata Dar hii unayoiona kwa sasa sehemu kubwa ilikuwa pori achilia mbali maeneo mengine katika mikoa ambayo reli ya kati inapita!

James Freeman Clarke aliwahi kusema, ''The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman think about the next generation''
Mkumbushe mleta mada kwamba mnara wa Paris (Eiffel Tower) ulijengwa mwaka 1887 na wakati huo walikuwepo wafaransa wenye kusema huu mnara unafaida gani katika maisha yetu?. Leo hii mnara huo ni sehemu muhimu ya vyanzo vya mapato vya jiji la Paris.

Ubinafsi ni kujiangalia sisi tunaopumua leo hii tukasahau kuwa kesho na keshokutwa kuna wengi watakaokuwa hai wakati sisi tukiwa tumeshazikwa.
 
Hakuna mwanachi yeyeto labda maisha yake yameathirika sababu hakuna SGR hakuna mzigo wowote uliokwama dar ukisubiria SGR ili usafirishwe.Hitaji la kwanza la wananchi ni elimu,afya na shibe.

Gharama za kujenga SGR zinatosha kujenga vyuo vya ufundi na vya maendeleo tena vya kisasa kila kata nchini na vijana wote nchi nzima zaidi ya milioni 15 wakapata elimu bure yaani kila mmoja akasoma kozi aitakayo ili awe na tija aweze kuzalisha na kuchochea ukuaji wa uchumi na kuondoa tatizo la ajira nchini.

Tofauti na sasa vijana wametelekezwa kama kuku wasio na baba wanajiendea tu hakuna program iwafahayo,wamegeukia kwenye udalali wa viwanda vya wachina ( kuendesha bodaboda na kuwa machinga) hakuna future hapa.

Vijana ni masikini kwa sababu hawana maarifa ya kutosha kuzitumia raslimali zilizopo.
Unachosahau ni kwamba hizo elimu, afya na shibe zimeanza kupewa kipaumbele tangu miaka ya 1960 na zinaendelea kupewa kipaumbele.

SGR itakwenda kuifungua nchi, kumbuka bado kuna rasilimali nyingi hazijaguswa na kigezo kimojawapo ni ukosefu wa usafiri bora na wa haraka wa kuzitoa bara na kuzileta huku bandarini.

Future ya vijana ni mtambuka, hugusa sekta nyingi kwa wakati mmoja, hakuna suluhisho moja na la kudumu la upanuaji wa ajira kwa vijana.
 
Hoja yako ni nzuri hasa kwa sababu inaonyesha kuwa tatizo ulilonalo ni ujinga ambao unahitaji tu kuelimishwa!

Kumbuka ujinga sio tusi kwa sababu mjinga akielimishwa huelimika lakini mpumbavu hawezi kuelimishwa!

Umeandika, ''Hapa lengo langu ni kuangalia umuhimu WA treni ya umeme kama ni sahihi kwa mazingira yetu ya sasa''!

Hutujengi reli ya treni ya umeme kwa mazingira ya sasa pekee bali pia mazingira ya miaka mingi ijayo. Unaweza kuona haina manufaa kwa sasa kwa sababu faida yake kama reli haiwezi kupatikana kwa sasa lakini uwepo wake unajenga mazingira ya uwekezaji kwa ujumla katika nyanja zingine uwe wa kuvutia.

Kumbuka reli ya kati ambayo unaisifia ilijengwa mwaka 1905 na ninaamini watu kama wewe wa wakati huo walisema hivi hivi kama unavyosema wewe eti ''haifai kwa mazingira ya sasa''

Mwaka 1905 hata Dar hii unayoiona kwa sasa sehemu kubwa ilikuwa pori achilia mbali maeneo mengine katika mikoa ambayo reli ya kati inapita!

James Freeman Clarke aliwahi kusema, ''The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman think about the next generation''
wat is important btn us and next generation
generation ijayo inategemea sisi tunaishije kwanza
ni kusema ivi tukiishi kilofa hata wao wataishi kilofa
ni hata kimaisha ukitaka kufanikiwa lazima uwe na short plans nyingi long term huwa zinakuja baada ya kufanikiwa
io reli ya 1905 yenyewe hatujaweza kuitumia kwa only 50% ya efficient yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachosahau ni kwamba hizo elimu, afya na shibe zimeanza kupewa kipaumbele tangu miaka ya 1960 na zinaendelea kupewa kipaumbele.

SGR itakwenda kuifungua nchi, kumbuka bado kuna rasilimali nyingi hazijaguswa na kigezo kimojawapo ni ukosefu wa usafiri bora na wa haraka wa kuzitoa bara na kuzileta huku bandarini.

Future ya vijana ni mtambuka, hugusa sekta nyingi kwa wakati mmoja, hakuna suluhisho moja na la kudumu la upanuaji wa ajira kwa vijana.
Mfano kipi kimekwama kusafirishwa hadi kisubiri SGR?
 
Siamini juu ya standard gage kwa kuwa mbadala upo angalau ndege naweza kuamini kuwa tulihitaji kufufua shirika, wingi WA ndege zisizo na faida ni jambo lingine japo napo hatupaswa lazima kuwa na shirika LA ndege LA taifa kwa kuwa za serikali zipo, mashirika binafsi yangetosha.

Fedha zilizotumika kwenye reli zinaniuma sana, tena hasa tulizokopa juz

Rufiji nako tunaenda kukopa t.4-5 watanzania sisi tunashida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Reli ya sasa inaweza kufanywa ikawa effective lakini sgr tunaangalia efficiency.
Efficiency e.g. in terms of time used to travel, replacement cost ya ma bogie na wagons itakuwa rahisi kwani production ya vizuri bus meter gauge nao umepunguza au unafanyika on special request, hivyo ni aghali
 
wat is important btn us and next generation
generation ijayo inategemea sisi tunaishije kwanza
ni kusema ivi tukiishi kilofa hata wao wataishi kilofa
ni hata kimaisha ukitaka kufanikiwa lazima uwe na short plans nyingi long term huwa zinakuja baada ya kufanikiwa
io reli ya 1905 yenyewe hatujaweza kuitumia kwa only 50% ya efficient yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapa kuna wrong usage of the word efficiency, unatakiwa kusema we have not use more than 50% of it's capacity or its potential , kwa hiyo argument yako yote inakuwa batili, kwani kama unataka reli iwe efficient ni sgr, kama unataka iwe effective basi tukarabati hii hii ambapo kuna mradi huo unaondelea pamoja na huu wa sgr sema labda huu wa meter gauge destination yake ni tofauti na huu wa sgr. Kama sijakosea. Lakini ikiwa nimekosea facts ni tayari kuelimishwa.
 
..mbona reli ya TAZARA hatuitumii vilivyo?

..au na yenyewe ikiwa ya umeme ndiyo tutaitumia kikamilifu?
Ya tazara tatizo ni mkataba wa uendeshaji wake una ipa Zambia priority , na nina kumbuka Mwakyembe alitaka itumike kwa shughuli zetu internally akakumbana na vikwanzo.
Mpaka hayo yatatuliwe ndio tazaraitakuwa more effective or more efficient.
 
Hapa umeandikiwa, ukweli ni kwamba Train ya kisasa Ina msaada mkubwa kiuchumi kwa Tanzania hasa ukanda wa pembe za magharabi. Mazao mengi ya kilimo yatafika kwenye linking hubs, usishushe thamani ya mradi huo kwa choice holela zinazochochea spending with little investing za mleta mada. Taifa likimaliza ujenzi wa rails ndiyo ifuate hizo choice za mleta mada, promote agricultural investments, mining, education, etc, utaona vyote hivyo vitatelezeshwa na rail Safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hivyo vitu ambavyo hi advocate vinaweza kufanywa at an individual level, partnership, joint venture , as a company etc wakati ujenzi wa reli kwa case yetu lazima ifanywe na serikali au consortium ya makampuni binafsi, not at an individual level
 
Hii nchi ina laana ya asili kwahiyo tuache mzee magu aendelee kukopa na kuwekeza kwenye kitu amabacho mpaka kinakamilika itakuwa imekuja teknolojia nzuri zaidi
U ought to be ..............., reli ni kitu cha 100 yrs etc , kama kuna hicho unavyo dhania kuja au kuota in 10 or 15 , ungekiona basi kwenye nchi zilizoendelea zinaanza kufanyi kazi ktk nchi zilizoendelea
 
Naunga mkono hoja, tukubali tukatae sisi Tanzania tuna tatizo katika kupanga vipaumbele vyetu kwasababu ya ama kutaka kushindana ama ubishoo kama wa ndege!.
P

Hakunaga kitu kama kipaumbele, kwa jinsi mabadiliko duniani yanakwenda huezi kua na vipaumbele Ila inakubidi uangalie mbele zaidi! Nikupe mfano, unapokea watalii mpaka Mil 1 kwa mwaka , unawasafirishaje kufikia point destination zao kW haraka? Treni ya mjerumani? Ile ndege moja mbovu? Unaaacha zaidi ya mapato ya $2B kila mwka kisa kuhifadhi $3B ambayo haizalishi? Hii ni akili ana ugonjwa?

Hio $3 ukishaitumia, so what's next? Where do you get the next cash? Kumbuka hio trillion 7 kuna mikopo ndan yke ... Akili ndogo tu inhitajik APA!
 
..kwa hiyo SGR tumelenga kupata HASARA

..na DREAMLINER vilevile lengo letu ni kupata HASARA.

cc misasa
Asante sana kwa kunitag mkuu.

Nilichomuelewa jamaa anasema miradi mingi ya serikali si lazima ipate faida kubwa. Miradi mingi ya serikali inakuwa ni MTAMBUKA ambayo inasababisha sekta nyingine kukua kupitia MRADI fulani.

Kwani huoni hata kama atutopata FAIDA kwa muda mfupi lakini SGR au ununuzi wa NDEGE ni miradi ya MTAMBUKA mkuu?
 
Naona hapa kuna wrong usage of the word efficiency, unatakiwa kusema we have not use more than 50% of it's capacity or its potential , kwa hiyo argument yako yote inakuwa batili, kwani kama unataka reli iwe efficient ni sgr, kama unataka iwe effective basi tukarabati hii hii ambapo kuna mradi huo unaondelea pamoja na huu wa sgr sema labda huu wa meter gauge destination yake ni tofauti na huu wa sgr. Kama sijakosea. Lakini ikiwa nimekosea facts ni tayari kuelimishwa.
muhimu umeelewa ni capacity mkuu kama hatujaweza tumia mgr kwa asilimia 50% ya uwezo wake ndani ya miaka 100 tokea mjerumani
kwa nn usiwaze mapana kwamba tumeikarabati yote mwanzo mwisho achana na kipisi cha mpaka isaka alafu hii hela tukaiwekeza kwenye kilimo kwenye mikoa yote inayopitiwa na hio reli pamoja na viwandwa ivo tukimaliza kukarabati tutakuwa na mizigo mingi ya kusafirisha hata vikundi vya kina mama wakawa wanakodi behewa la mizgo moja wanaweza jaza mizgo yani point n kuwa tungeifanya iwe biza hata kwa asilimia 60% ingetosha kuzalisha mapato ya kujenga reli nyingine za sgr kwa mapato yake na hio sgr nayo ikapata mizigo pia ila kwenda kuweka 7trilion kwenye sgr ambayo itatulipa baada ya 15 years wakatio io 7 trilion tungeiwekeza vizuri kwenye kilimo na elimu ni ndani ya miaka mitatu tu sgr ingejengwa na vijana wetu tena wangeijenga ikiwa iko kwenye uhitaji wa kusaidia meter gauge baada ya kulemewa yani ujenzi wa sgr ungekuja kama ulivokuja ujenzi wa mwendokasi kwamba kitu kinakuja on a perfect timing japo mwendokasi wanatatizo la uendeshaji ambapo ungekuta tokea daladala tulikuwa tunautaratibu wa kuwa kila baada ya 5 min daladala inatoka kimara to kariakoo na mwendokasi ikaje inge u copy ungekuta mwendokasi haina changamoto kama sasa ambapo ukiruhusu daladala zipite road ya mwendokasi zitaleta ushindano mnoo nasema hv kwa nn n kwamba utakuwa na mgr ambayo huitumi hata 50% na sgr ambayo hatujajua watumiaji watatokea wp ila mostly ni wale wa mgr watahamia kwenye sgr ivo mgr itazidi shuka yani ............ utakuwa umepata point mm sikupingi ila kujenga nchi inahitaji mipango ya haraka kuliko ya muda mrefu hususani nchi zinazokua nimetumia mwendokasi maana n easy kueleweka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakunaga kitu kama kipaumbele, kwa jinsi mabadiliko duniani yanakwenda huezi kua na vipaumbele Ila inakubidi uangalie mbele zaidi! Nikupe mfano, unapokea watalii mpaka Mil 1 kwa mwaka , unawasafirishaje kufikia point destination zao kW haraka? Treni ya mjerumani? Ile ndege moja mbovu? Unaaacha zaidi ya mapato ya $2B kila mwka kisa kuhifadhi $3B ambayo haizalishi? Hii ni akili ana ugonjwa?

Hio $3 ukishaitumia, so what's next? Where do you get the next cash? Kumbuka hio trillion 7 kuna mikopo ndan yke ... Akili ndogo tu inhitajik APA!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungekuta ni mnaona mbele mngezalishwa ma engneer wa kueleweka ndani ya 3 years hao wangejenga sgr ya 400km/h ambayo ingekuwa ni sehemu ndogo tu ya technology tutakayokuwa sasa hii ya sgr ya 160km/h ambayo izo nchi zilizoendelea kwao tokea 1900+ walishatumia sa hv wanafanya 300+km/h kama peace of cake hii yetu ya 160km/h inatutoa jasho na itatutoa ndani ya more than 7 years kumaliza kwa msaada wa wageni kwenye ujuzi ila tungewekeza kwenye elimu with in 3 years reli 1000km kwa speed ya 400km/h ingekuwa ni sehemu ya mafunzo ATC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muhimu umeelewa ni capacity mkuu kama hatujaweza tumia mgr kwa asilimia 50% ya uwezo wake ndani ya miaka 100 tokea mjerumani
kwa nn usiwaze mapana kwamba tumeikarabati yote mwanzo mwisho achana na kipisi cha mpaka isaka alafu hii hela tukaiwekeza kwenye kilimo kwenye mikoa yote inayopitiwa na hio reli pamoja na viwandwa ivo tukimaliza kukarabati tutakuwa na mizigo mingi ya kusafirisha hata vikundi vya kina mama wakawa wanakodi behewa la mizgo moja wanaweza jaza mizgo yani point n kuwa tungeifanya iwe biza hata kwa asilimia 60% ingetosha kuzalisha mapato ya kujenga reli nyingine za sgr kwa mapato yake na hio sgr nayo ikapata mizigo pia ila kwenda kuweka 7trilion kwenye sgr ambayo itatulipa baada ya 15 years wakatio io 7 trilion tungeiwekeza vizuri kwenye kilimo na elimu ni ndani ya miaka mitatu tu sgr ingejengwa na vijana wetu tena wangeijenga ikiwa iko kwenye uhitaji wa kusaidia meter gauge baada ya kulemewa yani ujenzi wa sgr ungekuja kama ulivokuja ujenzi wa mwendokasi kwamba kitu kinakuja on a perfect timing japo mwendokasi wanatatizo la uendeshaji ambapo ungekuta tokea daladala tulikuwa tunautaratibu wa kuwa kila baada ya 5 min daladala inatoka kimara to kariakoo na mwendokasi ikaje inge u copy ungekuta mwendokasi haina changamoto kama sasa ambapo ukiruhusu daladala zipite road ya mwendokasi zitaleta ushindano mnoo nasema hv kwa nn n kwamba utakuwa na mgr ambayo huitumi hata 50% na sgr ambayo hatujajua watumiaji watatokea wp ila mostly ni wale wa mgr watahamia kwenye sgr ivo mgr itazidi shuka yani ............ utakuwa umepata point mm sikupingi ila kujenga nchi inahitaji mipango ya haraka kuliko ya muda mrefu hususani nchi zinazokua nimetumia mwendokasi maana n easy kueleweka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe, lakini ukiwa sio insider kuna vitu vingine ambavyo wenzetu wameviangalia na wewe au sisi hatujaviangalia.
Mosi nimesema kumekuwepo na shida ya kupata vipuri kwa kuwa mass production setting ipo on sgr mode.
Na sisi uhitaji wetu kutokana na shida zetu ni mdogo, labda hizo spares tuchonge wenyewe, huku mlogolo-mrogoro.
Speed or time taken to deliver hizo goods and services , e.g. vegetables, maua, utalii and other businesses
 
Back
Top Bottom