Je, tulihitaji treni ya umeme zaidi ya mengine?

Je, tulihitaji treni ya umeme zaidi ya mengine?

Nashangaa mpaka sasa una like 2! Hii inamasnisha nijinsi gani tuna maboya humu yanayo jidai kuwa ni ma great thinkers.

Niunge hoja yako mkono; mleta uzi ni mjinga kama hajakuelewa basi ni mpumba**

Hivi wewe mleta uzi, unaweza kuendeleza kilimo bila miundo mbinu? Hivi Unajua kwanini Kenya wanatushinda kusafirisha bidhaa nje?

Swali lingine hivi train inayotumia masaa kadhaa kufika pahala fulani na inayotumia siku kadhaa ni ipi ina unafuu.

Hivi ninani amekuambia kwamba nauli ya treni ya umeme itakuwa ghali kushinda ya kati?

Nimetamani sana nikutukane lakini roho mtakatifu akanikataza.

NB: hayao malori yenu mtatafuta pa kuyapeleka Ramark

God save us
Kwani kuna mazao gani yamekwama kwenda sokoni yakisubiri SGR.Kwani nauli za ndege ATC ni nafuu?
 
Sas
Nashangaa mpaka sasa una like 2! Hii inamasnisha nijinsi gani tuna maboya humu yanayo jidai kuwa ni ma great thinkers.

Niunge hoja yako mkono; mleta uzi ni mjinga kama hajakuelewa basi ni mpumba**

Hivi wewe mleta uzi, unaweza kuendeleza kilimo bila miundo mbinu? Hivi Unajua kwanini Kenya wanatushinda kusafirisha bidhaa nje?

Swali lingine hivi train inayotumia masaa kadhaa kufika pahala fulani na inayotumia siku kadhaa ni ipi ina unafuu.

Hivi ninani amekuambia kwamba nauli ya treni ya umeme itakuwa ghali kushinda ya kati?

Nimetamani sana nikutukane lakini roho mtakatifu akanikataza.

NB: hayao malori yenu mtatafuta pa kuyapeleka Ramark

God save us
sasa na ww umechangia nn?kama hata vitu vidogo kama mradi wa udart umetushnda sembuse huu ambao tumeiga iga tu kwa wenzetu?mleta mada amekuja na alternatives kwan n ukwl kuwa huu mradi haukuwa wa lazima snaaa ukizngatia tuna rel ya kati na barabara zpo,kwa uchumi wetu huu na hii mirad mikubwa ya tembo mweupe n kujilazimisha kuwa Hussein Bolt wkt hata hatujatambaa,kuna vitu vya msingi mleta mada kaviweka ambavyo vinamlenga mtu wa chin moja kwa moj,ss kam hujaviona bac we ndo utakuwa tutusa ambaye umewekwa huk kuimba tu mapambio yasio n maana
 
Kwa mahali tulipo tulitakiwa kuwa na mradi wa namna hii kabisa hasa ukizingatia sisi ni hub ya East&central Africa sema utekelezaji wake haujafanywa kwa usahihi na watu sahihi ndio maana mradi umegeuka kuwa laana nadhani hata ukikamilika utakuwa na mapungufu mengi na majuto mengi
Kuna njia nyingi tungeweza kufata kulingana na hali yetu ya kiuchumi huenda tungeingia mkopo ambao condition zake tungeweza kulipa deni wakati mradi ushaanza kazi huenda deni lingechukua 20 yrs lakini baada ya hapo mradi ungebaki Mali yetu bila kuumizana na kuyumbisha uchumi
Huu mradi ulitakiwa kuwa job creator nadhani 30% ya vijana wakitanzania wangekuwa waajiriwa wa huu mradi,naweza kusema takribani 70% ya malighafi ingetoka ndani kuanzia chuma mpaka man power
Mradi pia ungetuachia ujuzi ndani kesho tungeweza kuhudumu Sudani kusini, Congo, nk kwakutumia kampuni za ujenzi za serikali au zakitanzania.
Ila shida iliotukumba nikupewa viongozi wasio na maarifa na maono ya mbali, You ajeuri wazandi na wenye hula, hasa raisi
 
Nakuunga mkono mtoa mada

SGR wanasema itapunguza gharama za usafirishaji mizigo najiuliza reli ya kati na Tazara tulishindwa kuzitumia je hazikuwa kutumiwa kupunguza gharama za usafirishaji?

Sababu nyingine wanasema viwanda vinahitaji hiyo reli unakuja kujiuliza mbona zilishakuwepo reli kama tatu zilishindwaje ilhali hii iweze?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku akiondoka magufuli madarakani kama mradi wa sgr haujaisha basi ujenzi hauatendelea,,Mradi wa stiggler gorge wa umeme nao utasimama. Shida ya miradi ni kwamba imeanzishwa kwa utashi wa mtu mmoja na sio mpango wa taifa wa muda mfupi au mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako ni nzuri hasa kwa sababu inaonyesha kuwa tatizo ulilonalo ni ujinga ambao unahitaji tu kuelimishwa!

Kumbuka ujinga sio tusi kwa sababu mjinga akielimishwa huelimika lakini mpumbavu hawezi kuelimishwa!

Umeandika, ''Hapa lengo langu ni kuangalia umuhimu WA treni ya umeme kama ni sahihi kwa mazingira yetu ya sasa''!

Hutujengi reli ya treni ya umeme kwa mazingira ya sasa pekee bali pia mazingira ya miaka mingi ijayo. Unaweza kuona haina manufaa kwa sasa kwa sababu faida yake kama reli haiwezi kupatikana kwa sasa lakini uwepo wake unajenga mazingira ya uwekezaji kwa ujumla katika nyanja zingine uwe wa kuvutia.

Kumbuka reli ya kati ambayo unaisifia ilijengwa mwaka 1905 na ninaamini watu kama wewe wa wakati huo walisema hivi hivi kama unavyosema wewe eti ''haifai kwa mazingira ya sasa''

Mwaka 1905 hata Dar hii unayoiona kwa sasa sehemu kubwa ilikuwa pori achilia mbali maeneo mengine katika mikoa ambayo reli ya kati inapita!

James Freeman Clarke aliwahi kusema, ''The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman think about the next generation''

..mbona reli ya TAZARA hatuitumii vilivyo?

..au na yenyewe ikiwa ya umeme ndiyo tutaitumia kikamilifu?
 
Nashangaa mpaka sasa una like 2! Hii inamasnisha nijinsi gani tuna maboya humu yanayo jidai kuwa ni ma great thinkers.

Niunge hoja yako mkono; mleta uzi ni mjinga kama hajakuelewa basi ni mpumba**

Hivi wewe mleta uzi, unaweza kuendeleza kilimo bila miundo mbinu? Hivi Unajua kwanini Kenya wanatushinda kusafirisha bidhaa nje?

Swali lingine hivi train inayotumia masaa kadhaa kufika pahala fulani na inayotumia siku kadhaa ni ipi ina unafuu.

Hivi ninani amekuambia kwamba nauli ya treni ya umeme itakuwa ghali kushinda ya kati?

Nimetamani sana nikutukane lakini roho mtakatifu akanikataza.

NB: hayao malori yenu mtatafuta pa kuyapeleka Ramark

God save us
Fursa kibao sijui kama unatumia akili kufikir au hisia za mapenzi dhidi ya SSM

Mazao gani yanahitaji reli kusafirishswa?
Dodoma mpaka dar usafirisha mazao gani ya biashara?
Mizigo gani inasafirishwa?

Ni t.7 inaishia dodoma je kufika kigoma na mwanza tutahititaji tena t.12-14 huu ni upuuuzi kabisa.

Mazao yanayosafirishwa kwa wingi ilikuwa ni korosho kuja dar lkn alternative IPO ambayo ni bandari ya Mtwara
Mahindi kutoka rukwa, ruvuma, sumbawanga Soko liko kibaigwa he hapo tunahitaji sgr ipeleke mahindi dar? Anakula nani? Mahindi mengi yanaelekea sirari kwenda Kenya, somalia pia kigoma ili yaende DRC je tunahitaji sgr hapo?

Ukifikir kwa makini, huu mradi ni maonyesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sas

sasa na ww umechangia nn?kama hata vitu vidogo kama mradi wa udart umetushnda sembuse huu ambao tumeiga iga tu kwa wenzetu?mleta mada amekuja na alternatives kwan n ukwl kuwa huu mradi haukuwa wa lazima snaaa ukizngatia tuna rel ya kati na barabara zpo,kwa uchumi wetu huu na hii mirad mikubwa ya tembo mweupe n kujilazimisha kuwa Hussein Bolt wkt hata hatujatambaa,kuna vitu vya msingi mleta mada kaviweka ambavyo vinamlenga mtu wa chin moja kwa moj,ss kam hujaviona bac we ndo utakuwa tutusa ambaye umewekwa huk kuimba tu mapambio yasio n maana

Miradi ni muhimu lkn ilitakiwa tufanye vya muhimu zaidi kwanza ni kanuni za planning, vyote ni muhimu unaanza na cha muhimu kabisa. Mfano tungeshirikishwa wananchi hakuna angeona sgr ni muhimu kwa sasa wakati njia mbadala za usafiri tyr zipo
 
Fursa kibao sijui kama unatumia akili kufikir au hisia za mapenzi dhidi ya SSM

Mazao gani yanahitaji reli kusafirishswa?
Dodoma mpaka dar usafirisha mazao gani ya biashara?
Mizigo gani inasafirishwa?

Ni t.7 inaishia dodoma je kufika kigoma na mwanza tutahititaji tena t.12-14 huu ni upuuuzi kabisa.

Mazao yanayosafirishwa kwa wingi ilikuwa ni korosho kuja dar lkn alternative IPO ambayo ni bandari ya Mtwara
Mahindi kutoka rukwa, ruvuma, sumbawanga Soko liko kibaigwa he hapo tunahitaji sgr ipeleke mahindi dar? Anakula nani? Mahindi mengi yanaelekea sirari kwenda Kenya, somalia pia kigoma ili yaende DRC je tunahitaji sgr hapo?

Ukifikir kwa makini, huu mradi ni maonyesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna dikteta yeyeto duniani aliyewahi shughulika na maendeleo ya watu.Wote ushughulika na sifa kwanza hata kwa kuumiza wengine muhimu kwao sifa kwanza watu si vipaumbele vyao
 
Miradi yote anayoanisha Rais ina maana sana ila nadhani changamoto kubwa kwa Tanzania ni kupata rasilimali watu itakayofanya kazi kwa tija ya taifa
Kupambana na rushwa na kufanya miradi iwe na maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umeandikiwa, ukweli ni kwamba Train ya kisasa Ina msaada mkubwa kiuchumi kwa Tanzania hasa ukanda wa pembe za magharabi. Mazao mengi ya kilimo yatafika kwenye linking hubs.
Naunga mkono hoja, tukubali tukatae sisi Tanzania tuna tatizo katika kupanga vipaumbele vyetu kwasababu ya ama kutaka kushindana ama ubishoo kama wa ndege!.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, tukubali tukatae sisi Tanzania tuna tatizo katika kupanga vipaumbele vyetu kwasababu ya ama kutaka kushindana ama ubishoo kama wa ndege!.
P
Hapa umeandikiwa, ukweli ni kwamba Train ya kisasa Ina msaada mkubwa kiuchumi kwa Tanzania hasa ukanda wa pembe za magharabi. Mazao mengi ya kilimo yatafika kwenye linking hubs, usishushe thamani ya mradi huo kwa choice holela zinazochochea spending with little investing za mleta mada. Taifa likimaliza ujenzi wa rails ndiyo ifuate hizo choice za mleta mada, promote agricultural investments, mining, education, etc, utaona vyote hivyo vitatelezeshwa na rail Safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako ni nzuri hasa kwa sababu inaonyesha kuwa tatizo ulilonalo ni ujinga ambao unahitaji tu kuelimishwa!

Kumbuka ujinga sio tusi kwa sababu mjinga akielimishwa huelimika lakini mpumbavu hawezi kuelimishwa!

Umeandika, ''Hapa lengo langu ni kuangalia umuhimu WA treni ya umeme kama ni sahihi kwa mazingira yetu ya sasa''!

Hutujengi reli ya treni ya umeme kwa mazingira ya sasa pekee bali pia mazingira ya miaka mingi ijayo. Unaweza kuona haina manufaa kwa sasa kwa sababu faida yake kama reli haiwezi kupatikana kwa sasa lakini uwepo wake unajenga mazingira ya uwekezaji kwa ujumla katika nyanja zingine uwe wa kuvutia.

Kumbuka reli ya kati ambayo unaisifia ilijengwa mwaka 1905 na ninaamini watu kama wewe wa wakati huo walisema hivi hivi kama unavyosema wewe eti ''haifai kwa mazingira ya sasa''

Mwaka 1905 hata Dar hii unayoiona kwa sasa sehemu kubwa ilikuwa pori achilia mbali maeneo mengine katika mikoa ambayo reli ya kati inapita!

James Freeman Clarke aliwahi kusema, ''The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman think about the next generation''
Mkuu wapo watu wanataka Elimu bila miundo mbinu.au wanadai ajira bila uwekezaji,wanataka nyongeza ya mishahara bila kulipa kodi,bado wengine hawajitambui.Wanataka kula bila kunawa.
 
Unatakiwa kutambua SGR inaunganisha Dodoma(mji mkuu) na Dar (jiji la kibiashara) na itasafirisha watu wengi na mizigo mingi kati ya hayo majiji mawili na nishati itakayo tumika ni umeme na sio mafuta ambayo tunanunua kutoka nje tena kwa dolar. Lakini sgr project bado inaendelea so ikikamilika itapunguza consumption ya mafuta.
 
Hivi watz mawazo potofu mtayaasha lini
Habari wakuu....,
Mawazo haya naamini ni ya mchana sio ya jioni.

Hapa lengo langu ni kuangalia umuhimu WA treni ya umeme kama ni sahihi kwa mazingira yetu ya sasa.

Tangu ajali ya mwaka 2001 serikali ilipunguza Nguvu ya shirika LA TRC ni kwa zaidi ya miaka 15. Migogoro na ukata ndani ya shirika vililitesa sana, wananchi na wabunge walipiga kelele lkn sauti ilianza kusikika wakati mwakyembe akiwa wazari ya usafirishaji. Mabadiliko yalitokea bajeti ya shirika ikaanza kuongezwa.
Kiukweli shirika likaanza angalu maisha mapya ya kendelea.

Mh. Magufuli na Masanja wamekuja na dhamira ya kulifufua shirika zaidi lkn standard gage tumekosea kwa sasa.

Hatuwezi kutumia t.7 kujenga kitu ambacho mbadala wake upo na wananchi bado wako kwenye mkwamo WA kiuchumi .

Reli yetu hii ya mjerumani IPO kwa nn tusiifufue completely na tukawekeza treni na mabehewa mazuri na ya kisasa ili kuendelea kuhudumia watu.

Wengi tulipanda treni nyuma ya 2001 na ulikuwa usafiri WA shida hata 2005 ulikuwepo kwa shida bado tulisafirisha msiba WA mjomba wangu.

Leo kuna treni za kisasa za reli ya zamani kwa nini tusingebaki pale kwanza?

Tumeona mabehehewa ya mwakyembe yakipata sifa kubwa lkn bado si ya kisasa na luxury.

Tungewekeza hapo kwa kuongeza treni nyingi ambapo watu wengi wangesafiri kupitia huko kwa gharama nafuu na usafiri ukawa reliable.

Mpaka leo TRC hawajajiandaa hata kuendesha shirika kisasa bado wanataka tujazane station gerezani na kwingineko, bado hawataki kuamini hata wasafi festival na fiesta tunalipa kwa simu.

Hawataki kuamin kwa haraka tunaweza toka huko kwa haraka.

Sijui kama magu atakuwa ofisini kama ndivyo anaweza kuunda shirika jipya kuhudumia standard gage kwa kuwa TRC hawajiandaa.

Naeleza haya nikijua ni mchana.

T.3 za juzi tulizokopa tungeamua kuimarisha kilimo cha kisasa kama Israel isingenufaisha watu WA nchi hii?

T.3 zilizotumika zingekopeshwa wakulima walioko kwenye vyama vya ushirika kuimarisha ukulima wao kwa mbegu, viuatilifu, mbolea na wataalamu kwa kuwaajiri tusingelikomboa hill taifa?

Tungewakopesha wafanyabiasha WA kati kufungua viwanda vya vidogo vya m.15 - 50 je tusingekuwa China WA Africa?

Basis tungezikopesha timu za ligi kuu kujenga viwanja ili tupate mapato

Basi tungegharamia elimu na afya yetu kwa miaka 3 tuone Ustawi WA watu baada ya hapo je, tusingekuwa na elimu bora pia health facilities nzuri katika nchi za maziwa makuu, pia better public health care

Je, tungezitumia kuongeza ajira za umma kwa usawa WA client na service provider, mishahara mizuri tusingeimarisha uwezo wetu WA uchumi WA nchi, kipato cha MTU mmoja kisingeongezeka? Benki zisingekuwa imara.

Basi tungetumia kutengeneza tasnia ya madini na utalii, tungetengeza vinu vya kuchenjua makinikia, tungetangaza vivutio vyetu nje na matangazo kwa mwaka mzima watalii wasingeongezeka? Matangazo discovery channel, kwenye ndege, EPL, na NBA hata mashirika ya habari na magazeti tusingeongeza utalii Mara tano kama sasa kwa miaka zaidi ya 10 mfululizo?

Sijui treni ya umeme tunawahi wap?
Kazini, likizo, mikutano, biashara, au mizigo?

Ulaya ilitumia standard gage kwakuwa imeungana na wanamiliki mapato.
Uwezo wao wa uchumi n mkubwa kuliko sisi.

Ahaa Kenya, purchasing power in kubwa kuliko tz lkn pia haikutakiwa kwa sasa.

Shida ya nchi zinazoendelea nikuhitaji yaliyo dunia ya kwanza bila kujali tunatumia pesa nyingi kwenye miundombinu isiyonatija kwa watu wengi kwenye uchumi wa taifa husika.
Tunatatizo na wanaofikir kwa niaba ya taifa

Tuna shida na system ya nchi
Tuna shida na bunge ambao wanapaswa kufikir juu ya ustawi wa watu

MTU aniambie kati ya standard gage na hayo yapi yanatija kwa watu robo tatu ya watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..nataka kujua kama SGR itaendeshwa kibiashara, itatuletea faida, na itarudisha fedha tulizowekeza.
JokaKuu nina uhakika unajua kabisa umuhimu wa usafiri katika nchi yoyote na faida zake unazijua. Usafiri ni nyenzo muhimu sana nchi yoyote na faida yake haipimiki. Na usafiri uliyo rahisi na wa uhakika ni reli. Unataka kunimbia hujui faida ya watu kusafiri, kusafirisha mazao na bidhaa nyingine? Ukitaka kufanya mapinduzi ya kilimo unaanza na usafiri wa rahisi na uhakika.
 
Back
Top Bottom