Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,878
- 29,385
Awamu ya 5 hatuna
Kundi hili chini ya Job Ndugai ni dhaifu kuliko hata bunge la 1990-95 la Chama kimoja lililokuwa na akina NJELU KASAKA. Magufuli anaendesha Bunge kwa remote hliwezi kufanya chochote ambacho Magufuli hafurahishwi nacho. Kimsingi hatuna Bunge
Awamu ya 5 hatuna Bunge bali tuna kundi la watu wanaotumia ukumbi wa Bunge pale Makole Dodoma kutekeleza maagizo ya Serikali.Vipaumbele vinawekwa na rais KISHA kujadiliwa na bunge hivyo ni ngumu bunge kuweka vipaumbele vya taifa.
Hatukupaswa kuwa mawaziri bungeni isipokuwa waziri Mkuu ili hoja ziwe chache za serikali zinazoingia bungeni kuliko zinazotoka bungeni kwenda serikalini.
Bunge LA marekani linaweza kutunga sheria yeyote bila mswada kuletwa na serikali
Tuimarishe bunge tuijenge nchi
Leo bunge limekuwa kimbilio kwa kuwa n sehemu ya soga na upigaji kwani si kwa maslahi ya taifa
Sent using Jamii Forums mobile app