Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,186
- 166,180
Itafutwe server ya utamu, kisha ifungiwe.
Hamna haja ya kuendelea kuichekea tovuti hii ya kijinga.
Waswahili wanasema ukicheka na mbwa atakufuata msikini, pia mchelea mwana kulia hulia yeye.
100% ninaafiki hawa wapuuzi wakamatwe mara moja na kupewa adhabu kali sana. Nadhani jana nilitoa hint za kutosha za kuweza kuwakamata wahusika. Nilitoa IP address, location, na muhusika alisoma chuo gani na college ID yake ilikuwa ni nini?.
100% ninaafiki hawa wapuuzi wakamatwe mara moja na kupewa adhabu kali sana. Nadhani jana nilitoa hint za kutosha za kuweza kuwakamata wahusika. Nilitoa IP address, location, na muhusika alisoma chuo gani na college ID yake ilikuwa ni nini?.
hiyo picha ya kikwete iko wapi? mbona mi sijaiiona? au ndo wameogopa nakuiondoa???? Naombeni link.
hiyo picha ya kikwete iko wapi? mbona mi sijaiiona? au ndo wameogopa nakuiondoa???? Naombeni link.
Maadili unayaona leo?
mbona hapa yanabadikwa mapicha machafu machafu hamuoni kama ni kinyume na maadili yatu watz......
mPM Yo Yo akutumie kutoka kwenye achieve yake!
Ana share na zeutamu?.
Nina hasira naweza sema vibaya!!!
Meza panadol Mama mdogo maumivu ya kichwa hauanza pole pole!
Labda ninywe RED BULL nipate nguvu nyingi hata kutwanga mtu!!!
- Inaonekana kuingia bungeni kwako ndio mwanzo na mwisho wa dunia, samahani sio wote wenye hizo ndoto, ni zako tu! sisi tunatafuta hela kwanza siasa itakuja baadaye hatuna haraka nayo kama wewe!
- Na kama kuna bunge duniani linaloweza kuigiliwa kwa njia hii basi hilo sio bunge ila ni kilabu cha pombe cha walevi walevi hivi, hapa tunatota maoni yetu kulingana na ishu iliyopo mezani, na sio lazima wote tuwe na mawazo kama yako mkuu, ya kufurahia hii picha isiyo na heshima kabisa mbele ya jamii!
- Wazee wetu kama Society zetu, wengi hawajui kama Europe na US ni mabara tofauti, Nigga kwa akwaida huwa hajui kama Africa ina nchi zaidi ya 45, huwa anafikiri ni nchi moja tu, kama wazee wetu huamini kuwa mbongo yoyote anayeenda Ulaya, ni lazima akutane na wabongo wengine, huwa hawajui kwamba kuna nchi nyingi mbali mbali na miji tofauti na sio rahisi kwa wabongo walioko majuu kuonana, na sisi mabingwa wa Internent tunaofahamika na jamii hapa tumelowa maji machafu kwa sababu sio rahisi kuwashawishi wanaotusikia na Internent kwamba hatuhusiki na haya ya ajabu, tukipita sasa itkuwa huyu naye ni wa huko Internent ni fedheha kubwa sana kwa sisi wastaarabu na wapenda ukweli, hizi za picha zingekua za ukweli isingekuwa taabu,
- Narudia tena kwamba leo ni siku ya giza kwangu binafsi, sikutegema kwamba one day katika uhai wangu, kama M-Tanzania niliyelelewa kizalendo, niliyezaliwa bongo na kutahiriwa kitamaduni kijijini kwetu, na kufundishwa madhara ya utawala wa mkoloni nikiwa Primary School, nikafundishwa namna ya kujitegemea nikiwa Secondari, nikafundishwa kufanya kazi nikiwa JKT, nikaenda Ulaya na kujionea faida za kutopitia utumwa katika maisha yangu kama weusi wa US, kama wa-Surinam wa Holland, kama weusi wa Arabuni. Mwalimu akanipa elimu kuhusu utaifa wangu, akanipa nationality, akanipa ID, baada ya miaka 14 majuu siku moja nikarudi bongo nikiwa nimeelewa uzuri na utamu wa maisha yangu ya kibongo na mapungufu yake, na uzuri na mapungufu ya maisha ya majuu, bado bongo ni tambarare, lakini kwenda majuu na kurudi nyumbani na this kind of education, ya kumuweka uchi kiongozi wa taifa kama alivyofanyiwa leo ni aibu yetu wananchi wote wa Tanzania, licha ya wale tu tunaoingia kwenye mitandao.
- Kwa wale mnaoshangilia ni haki yenu, isiyokuwa haki yenu ni ku-question haki za wengine kutoshangilia, mnachotakwia kutufundisha hapa kwenye uwanja huu wa Great Thinkers ni vipi this thing inaweza kutusaidia taifa na maendeleo yake, na hasa vipi hii new ideology yenu inakwenda samba samba na masilahi yetu kitaifa.
- Kumbuka kwa shujaa huenda kilio, lakini kwa muoga siku zote huwa ni kicheko!
FMES!
Napenda kuungana na wana JF wenzangu kullani kitendo cha ZE UTAMU kubandika barua ya kumdharilisha mheshimiwa raisi wetu. Siwezi epuka kumlaumu MODERATOR /Administrator wa hi blog (kama yupo) kwa kutoibandua mapema hiyo picha kama ilibandikwa yeye akiwa hana habari. Napenda kuelimishwa, huuyu Mkuchika ana madaraka vilevile ya kufungia blogs?? Tumemsikia mara anakimbilia kufungia magazeti yakianika kashifa za VIGOGO lakini yakiaandika kashifa za walala hoi wana hana habari. Magazeti ya udaku utakuta yamepiga picha za maiti wa ajali za gari / mitumbwi lakini Mkuchika kimya!! Nina hasira naweza sema vibaya!!!
Jeshi la polisi kutumia resources za walipa kodi kuwasaka wamiliki wa ze Utamu na hatimaye kuwatima mabaroni au LAA itakuwa ni kutumika vibaya kwa rasilimali hizo. Nashangaa kuona kuwa tumelia sana na majambazi, tumelia sana na ndugu zetu Albino kuchunwa hatukuwahi kusikia kuwa Jeshi la polisi linashirikiana na akina so and so kuwabaini wauwaju wa Albino, mpaka Mh. alipoamuru washukiwa washukiwe na mawe mpaka kufa na alipoambiwa atoe kauli aliamua kmwaga chozi ndio serikali ikaja na utaratibu wa kuwafanya wachache watengeneze pesa kwa kuratatibu zoezi la upigaji kura za siri kuwabaini watuhumiwa. Ningekuwa Mh. Rais ningemwambia mwandishi wangu kuwa awatangazie waTz kuwa mheshimiwa Rais ansema hiyo picha ni ya kutengenezwa na hahusiki na lolote lile wala hawaombi wahusika kuomba msamaha, wala hataamuru chochombo chochote kinachotumia kodi ya wanachi kumtafuta mhusika, naawaombeni wananchi mrudi kwenye kazi zenu hasa kipindi hiki cha mwanguko wa uchumi kidunia, Asanteni sana.
Kesho hiyo story isingekuwa story tena ingekuwa imekosa maana kabisa.