The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Ningeendeleza kuchekea chekea watu tu, kuendeleza upole na kutokuwa na msimamo na chochote nikifanyacho ili watu wasione kama nimebadilika wasije wakafikiri niliwekwa mezani kweli. Halafu ningepunguza safari za uarabuni ili watu wasije wakadhani kuna chochote huko maana ndio kwenyewe kwa hayo mambo ya mezani.
Ni kweli wamechelewa kuchukua hatua,lakini hawajachelewa kihivyo.Kuna kila sababu ya kuhakikisha upuuzi huu hauendelei.
- Lakini huwezi fanya haya mambo China, au wao wana system tofauti ya internent?
FMES!
Ama kweli JF kuna watu wa aina mbali mbali...msiitumie kwenye kampeni hahahah mkatengeneza billboards!
Masanilo mzee wa tigo!it was just jokes,sina hiyo picha bwana naona umeshtuka kweli kweli.
JESHI la Polisi nchini linawasaka wamiliki wa mtandao unaojulikana kama ZE UTAMU ambao unakwenda kinyume na maadili za Kitanzania.
Jeshi hilo limetowa tamko kuwa wapo kwenye mikakati mikali ya kubaini wamiliki na wanaoendesha mtandao huo kwa nia ya kuwatia hatiani kwa kile kinachodaiwa kuwa wanadhalilisha watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa nchi.
Msemaji wa jeshi hilo amesema kuwa kutokana na vitendo vinavyofanywa na wamiliki wa mtandao huo Jeshi hili halitavumilia na limeamua kuwasaka moja kwa moja watu hao.
Amesema kuwa mtandao huo umekuwa ukitumia nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari kwa kutoa picha mbalimbali za kudhalilisha na za ngono ikiwemo na kukashifu viongozi.
Amesema kuanzia jana Maofisa wa Polisi ikiwemo na Tume ya Uchunguzi wa Mawisiliano wanakutana kwa kujadili kwa kina suala hilo ikiwemo na kubaini wamiliki.
Amesema hatua iliyofikia ya mtandao huo kudhalilisha wananchi pia na kutotoa maadili mazuri kwa jamii vitendo hivyo havitavumiliwa na Jeshi hilo.
Pia baadhi ya wananchi waliyohojiwa na NIFAHAMISHE walisema kuwa hatua iliyochukuliwa na JEshi la Polisi ni la msingi kwa kuwa Mtandao huo ulikuwa unaweka picha za kipuuzi na fedheha kwa umma wa Watanzania.
Tunaomba wasakwe haraka iwezekanavyo ili mkondo wa sheria ushike mahali pake kwa kuwakamata wote wanaojihusisha na mtandao huo.
Source: Nifahamishe.com
Thanks to GOD, mazee nyie hamtabiriki....week end hii babake .....umepanga kufanya nini? ama makamuzi kama K
Kwani wewe ufurahia hiyo picha?
I always asking myself, are we ready to protect and save the citizen and their property in scientific and update manner? on Polisi perception? on Tanzania perception (patriotism or jingoism) its shame for us Tanzanian to sit back and wait for one looser to control our mind and play with our feelings by insulting us while smiling like if its a normal Komedy joke. Ukimutukana kuhani wa Mungu umemtukana Mungu. JK is our President where I like or not, he is carrying Tanzania on his shoulder. He can lead us to prosperity or distruction especially if we are not pray and protect him. Tanzania Police and all security bodies in Tanzania please change the way of doing things by prevent things from happening and not doing the damage control. Question 1. where are those thugs whom were Mzee Punch ring leaders after being expelled from UDSM in early 90's? 2. why did the security bodies allow hundreds of Tanzanians to be insulted by ze utamu with out doing anything tangible? wahenga walisema naquote "ukicheka na mbwa, utaingia nae Msikitini" na tungecheka na Mzee Idd Amin sijui tungekua twasema nini. Security bodies msione haya wala msiogope kubadilika polisi mna sheria 40 zinazowaongoza ambazo tumerithi kutoka kwa wakoloni tuzibadilishe na tuajiri na kutrain wapiganaji wetu dhidi ya Developed Crime. Reason si Cyber crime (uhalifu wa kimtandao) tu,hata ujambazi majuzi Tabora wakora wanachukua dhahabu kama wananawa tu, mabasi yanatekwa kila kukicha, wahanga wa ajali za barabarani wanaporwa waziwazi, bora lawama kuliko fedheha hizi, enzi za Marehemu Baba wa Taifa na Mzee Sokoine hakukua na mambo haya, likitokea la kutokea kitaani au kijijini mnasailiwa wote hakuna ushirikiano kitaa/kijijini mtashaa kichapo wote mtatajana hakuna kulinda wahalifu. Pole tena Muungwana. IGP, Mr. Othman, Mr. Manumba na all your team, you have all the indispensable resources please get those scams and let them know that Tanzania is an highly regarded and reputable country. Please!JESHI la Polisi nchini linawasaka wamiliki wa mtandao unaojulikana kama ZE UTAMU ambao unakwenda kinyume na maadili za Kitanzania.