Hakuna anayekubaliana na kitendo hicho cha kuchafuliwa Mhe. Rais. Hapa tunajadili issues nzito zinazolitafuna Taifa letu sio ushenzi kama ule. Kama kuna mtu anayewafahamu basi awasaidie Polisi. Pole Mhe. Vijana wako hao adamu imekwenda sokoni.
nasikia tu mnapiga makelele....mbona sijaweza kuiona hiyo picha jamani??? naona the site is down au imefanyiwa mambo????nikiweza kuiona nitatoa maoni kamili....i knew the story...
Fungua site hiyo'mbona inafunguka?labda server kwako iko chini.acha nikutumie kwenye PM.
Yaani watu wanasubiri hadi picha za viongozi ndio wanaona kuwa ZeUtamu haifai wakiwekwa walalahoi mbona mnakaa kimya
Leo ndio mnaona haifai ina maana siku zote huko nyuma kabla hawajamweka Rais alikuwa inafaa?
Kisale, hata mimi nafungua sioni kitu, ebu nitumie kwenye PM ili nikishaona niweze kuchangia kupambana na utovu wa nidhamu unaosemekana kufanyika!!!
Kamanda umeisave sio! Just in case!Itabidi nifanye mpango nikutumie kwa sababu tunamshukuru Mungu,naona wameiondoa hiyo picha kwenye hiyo site kwa sasa.
Yaani watu wanasubiri hadi picha za viongozi ndio wanaona kuwa ZeUtamu haifai wakiwekwa walalahoi mbona mnakaa kimya
Leo ndio mnaona haifai ina maana siku zote huko nyuma kabla hawajamweka Rais alikuwa inafaa?
Kamanda umeisave sio! Just in case!
pich ile inasikitisha sana
Nimekuta imejisave kwenye pc yangu automatical
Assume yule wa juu ya meza ni wewe yaani sura yako,ungejisikiaje? Una ndugu, marafiki na watu mbali mbali wanaokufahamu na wanaangalia mambo ya utamu!
Je wangekutetea umeonewa au kwasababu zao binafsi wengine wataanza kusema kumbe jamaa ndo alivyo!..
Kama kusikitisha utamu haijaanza kusikitisha jana wala leo bali tangia imeanzishwa!..