mkuu nakufungulia thread.......NL,
Nafikiri hadi sasa yameandikwa mengi sana humu ndani na si hii issue ya Kikwete na Ze-utamu. Wamewekwa humu leo hadi akina Mange, Erick, Nsia Swai na wengine kibao. Kama tunajadili, hatuwezi kuwa wafungwa. Mwisho nilichosema ni kuwa "hawa viongozi wa dini matapeli, walitakiwa kuwa huko kwenye ze-utamu..." Maadamu issue moja wapo ni hiyo zautamu, tatuizo liko wapi? Yaani lazima tuongeee Kikwete vs zeutamu siku nzima? Kila kitu kinazaliwa, kukua na kufa. Hata hii issue hivyohivyo. Hivyo sioni ubaya wa kusema kuwa "badala ya kumuweka Kikwete, walitakiwa wawekwe vingozi wa dini Mafisadi...."
Kuja kwenye issue ya pili, sijui kama umesoma vizuri nilichoandika. Nimeandika wazi kabisa kuwa Watumishi wa Mungu Matapeli. Kama mtumishi wa Mungu si tapeli basi huyu alale salama wala sina shida naye. Hata mie nawafahamu watu wa dini wenye dini kweli. Hao na waendelee hivyohivyo ingawa hao maboss wao wanawaangusha sana.
Nakuelewa kama umesoma Missionary. Hata mie mwanzo nilikuwa mtu wa kuheshimu sana dini na watumishi wa Mungu. Siku moja nikiwa nchi za watu tulienda harusini, na baada ya misa tukaenda kujichana na mnuso mkali. Nilishangaa Padri mmoja akicheza na mama mmoja usiku mzima na watu wakiangalia kwa jicho nusunusu na wengine wakisifia tu kuwa Padri anaongoza vizuri katika kucheza (chezaji za wazungu).
Kwenye harusi nyingine ndiyo ikawa kali zaidi. Padri mmoja aliyekuwa ANAKULA SAHANI moja na mama fulani kwenye mnuso, kufika saa tani usiku ghafla akapotea na yule mama. Mzee mmoja akaana kuuliza "Huyu Padri yuko wapi? Si alikuwa hapa na huyu mama, wamepotelea wapi wote? Ngoja nimtafute huyu Padri nimtie adabu...." Watu walicheka. Hii mifano iko mingi.
Tanzania kuna akina Pengo, Mtikila, nk ambao kukicha wanamsafisha Lowasa, Mkapa na genge lao. Mie ndiyo nasema hao. Na nimeandika hapo juu kuwa unawatoa wakiwa kwa Lowasa wakipata visenti. Sasa ndiyo narudi kama mwanzo. Tusiwe watumwa kwenye uandishi. Huwezi kusema chochote kisa watu watasema una-generalise. Hebu acheni tupumue. Yaani hadi niandike kila kitu? Huwezi kusoma ujumbe wa mtu ukajua ujumbe wake analenga watu gani? Hebu angalia tena ujumbe wangu hapo juu uone kama nilimaanisha watumishi wote wa Mungu au wale Mafisadi/Matapeli tu? Sasa wee Mchungaji unasaidia watu watapeliwe kwenye DECI, tukweke wapi? Tukisema tuseme kwa uangalifu sana maana tutaonekana tuna-generalise? Wao wanapotapeli, mbona hawaogopi kuwachafua wenzao na kazi yao? Kama kuna wa kuona aibu ni wao na si sisi tunaokoma nyani...
hizi ndio kauli ambazo hatuziitaji hapa JF zinatushia hadhi........Mimi nataka kujua hivi wamarekani wali-react vipi kutokana na kile kikatuni cha Bush akiwa anamtia Osaba Bin Laden?.Maana kwa issue hii ya Jk siyo katuni ya kwanza kwa raisi kufanyiwa hivi imeshawahi kutokea kwa maraisi wengine.Au Bush na Condo Rice walikuwa nao wako katika tendo la ndoa?
Mwanakijiji naona umeto amfano wa Bill clinton na monica tuu lakini kuna mtano bora ni wa Bush na Osama.
hizi ndio kauli ambazo hatuziitaji hapa JF zinatushia hadhi........
Hey Sasha..bado nasubiri ile quote...🙂
But you have a point....kuna moja ya John Kerry akilana denda na John Edwards.....au Nailin Palin....
Sisemi kwamba ni sawa lakini natambua hali halisi na mazingira tunayoishi sasa kuwa kuzuia mambo kama hayo HAIWEZEKANI!!
kuna watu wanaita matusi.....Na kauli nzuri ni ipi?.au ulitaka niseme vajj?.
Oh well kiswahili kigumu na maneno yake ni mazito compared na ukiyatamka kwa kingredha.
e.g ukisema kutongoza lina sound wierd lakini ukisema approach aah very simple.
kuna watu wanaita matusi.....
Bila matusi hata wao wasingezaliwa, achana nao hao wanaolalamika.....
Sasha, ni nini hicho?🙂
sasa hapo unatafuta mengine bi sasha........ngoja wafasiri wa kuran na bible watuambie maana ya lile tunda ni kama hio unaosemea wewe......Thinking alike.Nilikuwa nataka kusema hivyo.
Eva na Adam walikula tunda katika bustani ya edena mbalo kila mtu ana practise na tunazidi kuelendeleza vizazi.
Mficha uchi hazai.
msitumie njia hii kuingilia bungeni.....
sasa hapo unatafuta mengine bi sasha........ngoja wafasiri wa kuran na bible watuambie maana ya lile tunda ni kama hio unaosemea wewe......
yah man......next?- Inaonekana kuingia bungeni kwako ndio mwanzo na mwisho wa dunia, samahani sio wote wenye hizo ndoto, ni zako tu! sisi tunatafuta hela kwanza siasa itakuja baadaye hatuna haraka nayo kama wewe!
FMES!
dada belinda sasa tovuti hiyo imeshafungwa toka saa 10 mchana wa leo saa za afrika ya mashariki
lakini kwa updande mwingine tunapata funzo moja kuwa lazima kuwa makini ..kwani watu wanaaza kukosa uvumilivu wa kawaida!!!..wanavuka mipaka..haijapata kutokea ..lazima wana mikakati wa mzee wakae chini na waangalie wafanye nini!
wapo hewani...imebidi niingie baada ya kusikia haya na wako hewani...
si wameshaponea mara kumi kufungiwa hawa ..wanabadili IP na anwani kila mara na wanaaendelea...kuna wakati mh masha walipomgusa aliwaondoa hewani pia wakarudi na jina jipya ..
ni ngumu..kupigana na adui msiyemuona
Unachoandika hapo juu Icadon ndicho kilichofanyika. ISP wote Tanzania wamekuwa ordered wai-block Ze Uchungu na ikatekelezwa HARAKA SANA. Lakini nadhani wamekosea bado, kwa anayeelewa namaanisha nini anajua kuwa ni kazi bure, Proxy servers zipo, mwenye dhamira ya kutembelea tovuti ile anaipata uzuuri kabisa. Halafu, ni kosa KUBWA (kisheria)! Wrong decision I may say. Kwa wale walio nje wanaipata vema hivyo wanaweza kusambaza nakala za yanayoongelewa mle kwa njia ya barua pepe ama vinginevyo.Haya malalamiko pelekeni tume ya Mawasiliano na kwa ISP wote ndani ya Tanzania waiblock ili isiwe accessible nchini.
Na kama umechafuliwa au ndugu yako amechafuliwa wasiliana na Host wao ukiambatanisha na ushahidi
Shy,dada belinda sasa tovuti hiyo imeshafungwa toka saa 10 mchana wa leo saa za afrika ya mashariki
Wewe nae....
....siku hizi JF kuna vi thread vya ajabu ajabu vya kujikomba komba.....
......hebu tuletee kidhibitisho cha kuchafuliwa raisi