Mamlaka ya Hali ya Hewa ijiridhishe na utabiri wake kabla ya kutoa taarifa kwa umma

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
388
773
utabiri ulitolewa kuwa kuanzia mwezi wa Oktoba kutakuwa na Elnino na wananchi wachukue tahadhari hasa wale wanaoishi mabondeni.

Kwa hatua tuliyofikia ambayo mambo sasa ni ya kisayansi mbona utabiri wenu una kasoro kubwa.

Mimi nimekaa Marekani- Washington DC wakitangaza kuwa mvua kubwa itashuka kuanzia mathalani saa 8.30 mchana, muda huo huo ukifika utaona mvua inaanza kunyesha.

Utabiri kama huu unaleta usumbufu kwa wananchi na hasara isiyotegemewa.

Nawashauri, hebu kuweni maakini katika utabiri wenu.
 
utabiri ulitolewa kuwa kuanzia mwezi wa Oktoba kutakuwa na Elnino na wananchi wachukue tahadhari hasa wale wanaoishi mabondeni. Kwa hatua tuliyofikia ambayo mambo sasa ni ya kisayansi mbona utabiri wenu una kasoro kubwa. Mimi nimekaa Marekani- Washington DC wakitangaza kuwa mvua kubwa itashuka kuanzia mathalani saa 8.30 mchana, muda huo huo ukifika utaona mvua inaanza kunyesha. Utabiri kama huu unaleta usumbufu kwa wananchi na hasara isiyotegemewa. Nawashauri, hebu kuweni maakini katika utabiri wenu.
Utabiri ulitolewa mwezi wa 9 🤣🤣
 
Umakini Tanzania utokee wapi?.

Ukishaona nchi ambayo sehemu yake kubwa ya viongozi wakuu wanafanya shirki ili kupata madaraka wazi kuwa upo uwezekano wa watendaji wake nao wakawa wanatumia vumba kupanda vyeo na madaraja ofisi za umma.

TMA inatoa tabiri mbovu ambazo unaweza kudhani nchi inaongozwa kwa nguvu za giza
 
utabiri ulitolewa kuwa kuanzia mwezi wa Oktoba kutakuwa na Elnino na wananchi wachukue tahadhari hasa wale wanaoishi mabondeni.

Kwa hatua tuliyofikia ambayo mambo sasa ni ya kisayansi mbona utabiri wenu una kasoro kubwa.

Mimi nimekaa Marekani- Washington DC wakitangaza kuwa mvua kubwa itashuka kuanzia mathalani saa 8.30 mchana, muda huo huo ukifika utaona mvua inaanza kunyesha.

Utabiri kama huu unaleta usumbufu kwa wananchi na hasara isiyotegemewa.

Nawashauri, hebu kuweni maakini katika utabiri wenu.
Nashauri pia kitengo kinachohusiana na Hali ya hewa wapewe DP world ili ufanisi uongezeke...
 
utabiri ulitolewa kuwa kuanzia mwezi wa Oktoba kutakuwa na Elnino na wananchi wachukue tahadhari hasa wale wanaoishi mabondeni.

Kwa hatua tuliyofikia ambayo mambo sasa ni ya kisayansi mbona utabiri wenu una kasoro kubwa.

Mimi nimekaa Marekani- Washington DC wakitangaza kuwa mvua kubwa itashuka kuanzia mathalani saa 8.30 mchana, muda huo huo ukifika utaona mvua inaanza kunyesha.

Utabiri kama huu unaleta usumbufu kwa wananchi na hasara isiyotegemewa.

Nawashauri, hebu kuweni maakini katika utabiri wenu.
Walisema zitaanzia kanda ya ziwa,kisha pwani wiki ya mwisho ya mwezi wa kumi mpaka January
 
Ndugu zangu mvua zinakuja na mvua za Dar zinajulikana likipiga siku moja tunaanza kuogelea kama samaki. Mvua zipe nimetizama site ya Windy yes msidanganywe na hili joto maana ni dalili nini kinakuja. Kesho kuanzia usiku mvua kubwa itashuka na wiki lote la Nov ni mvua daily. Dalili ya mvua sio mawingi ni jua kali na joto sio la kawaida. Mjiandae mvua inakuja.
 
Ila watanzania kwa ujuaji hatuna upinzani, nadhani dunia nzima!

Kama kweli mnajua sana kuliko hiyo TMA basi wala hiki kikao cha majungu na fitna msingekiweka humu JF maana hali ya hewa ya sasa ni ishara tosha ya hali ijayo.

Imagine mmekaa humu mnaipakaza matope nchi yenu wenyewe! Very low!

Ndio maana kuna Dini inasema kitendo cha kusengenya ama kumsema kiumbe mwenzako vibaya ni Sawa na kula nyama ya binaadam mwenzako, hutoacha mpaka utajitafuna nawe mwenyewe.

Sad.
 
Back
Top Bottom