HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,993
- 102,833
Inaonesha hata hiyo midege tayari aliinunua bila kufikiria ndo maana haina ruti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli hata kama huchekagi utacheka!! ulimwengu huu kuna watu wanafiki!!Au unaangalia marudio ya kampeni za 2015![]()
![]()
![]()
![]()
Tunadiscus inshu ya viwanda mkuu Tundu Lissu katokea wap hapa... TL ndo kiwanda?? Acha bangiiKWA SASA TUNAJENGA KIWANDA KIKUBWA KINA ITWA TUNDU LISSU, HIKI KITAWALETEA WATANZANIA WENGI AJIRA,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejenga viwanda 3000 kwa miaka 3, kumbe ni mashine za kusaga, kukoboa na kukamua alizeti.hahahaha!! viwanda mia kila mkoa blaki asiii!
Tunaongozwa na washamba wa kutupwa...wanawaza kuuwa wenzao kwa sifa za kijuha.



. Viwanda vyenyewe ni cherehani 4, wafyatuaji wa tofari, walanda mbao. Daaah CCM sijui safar hii watakuja na slogan ipi maana ya viwanda imekufa rasmi.