Je TANU ilipata uzoefu wapi wakati ilipochukua nchi kutoka kwa mkoloni?

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
wanajamvi aman iwe kwenu. wakat nyerere anadai uhuru ilikuwa vigumu sana na akaweza leo cdm na ukawa wanapanga kupumzisha ccm iwe kambi rasmi ya upinzani bungeni watu wanakuja na hoja eti ukawa hawawez kuendesha nchi kivipi? naomba tujadiliane hilo kwa sabab gani wakati nyerere na TANU waliweza huku wasomi walikuwa wachache ukawa washindwe kwa sabab gani? karibuni.
 
ninawashangaa sana hawa maccm wanakuja na hoja mfuu kabisa eti ukawa haijajiandaa kuchukua nchi. ni wakati gani muafaka kwenu kwa upinzani kuchukua ikulu? mmelewa madaraka mwaka huu mtaipata fresh mmemdhulumu lowasa na sasa lazima awaweke bench kwa amani kwa amani na maguful wenu
 
Ma ccm yanadhani watanzania wote ni wajinga

mim hili swali nimejiuliza sana kama nyerere aliweza na hakuwa na wasomi wengi wapinzani hawawez kwa sabab gani? hawa waroho wa madaraka na wamepanga hawatoki ikulu ila mwaka huu wataisoma namba
 
Me mwaka huu hata angegombea chenge kwa tiketi ya ukawa bado ningempa kura yangu ccm nimewachoka mpaka siku hz nimepungua uzito kila nikiwawaza
 
Me mwaka huu hata angegombea chenge kwa tiketi ya ukawa bado ningempa kura yangu ccm nimewachoka mpaka siku hz nimepungua uzito kila nikiwawaza

kazi kubwa iliyoko mbele yetu ni kuiondoa ccm hapo mambo mapya yanaweza kupata nafasi wamenajisi nchi yetu mpaka tunaonekana mazuzu nchi imefanywa shamba la bibi alaf wanakuja na hoja hatuwez kuongoza hayo ni matusi ya rejareja kwa watanzania
 
Back
Top Bottom