maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,774
- 2,297
wanajamvi aman iwe kwenu. wakat nyerere anadai uhuru ilikuwa vigumu sana na akaweza leo cdm na ukawa wanapanga kupumzisha ccm iwe kambi rasmi ya upinzani bungeni watu wanakuja na hoja eti ukawa hawawez kuendesha nchi kivipi? naomba tujadiliane hilo kwa sabab gani wakati nyerere na TANU waliweza huku wasomi walikuwa wachache ukawa washindwe kwa sabab gani? karibuni.