Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

Nimetumiwa file ,PDF za Kaz za TRA ambazo Wametangaza nafasi mbali mbali ktk ofisi hyo ila Cha ajabu tangazo Hilo halipo katika portal za ajira portal yaan utumishi

Ndio nauliza hapa utaratibu wa mwanzo ule wa kuomba kazi Moja kwa Moja kweny taasisi husika umeanza lini au utumishi wamewapa tra kibali Cha kufanya hivyo?

View attachment 2636605View attachment 2636608
Najaribu kulisoma naona halisomeki vizuri hivyo nakosa cha kusema
Muhimu angalia mawasiliano yaliyotajwa hapo namna ya kutuma maombi. Cheki kama wameweka email,ikiwa imail ni ya gmail,yahoo,hotmail n.k ambazo sio za Serikali basi jua ni tangazo la uongo.
Email za serikali nyingi zinaishia na .go.tz
 
Yaaan hamna sehemu ya kuweka picha…kwenye kipengele cha qualification ndo doh

Kwani lazima uweke picha? Mbona form yao ipo vizuri tu. Ijaze vipengele vyote then preview profile. Halafu unaanza ku’apply kazi. Simple tu.
 
Nimejaribu kutest system yao ya kutuma maombi haifanyi kazi. what the f*****ck
 
Kwny cover letter wakuu mumetumia anuani gani msaada tutani
A signed Application letter should be written either English or Swahili and addressed
to Commissioner General, P.O. Box 11491, Mchafukoge - Dar Es Salaam
 
Kwani lazima uweke picha? Mbona form yao ipo vizuri tu. Ijaze vipengele vyote then preview profile. Halafu unaanza ku’apply kazi. Simple tu.
Unajua mkuu ishu ni kwamba kwenye tangazo la kazi kule picha wametaja iwepo na ule ndio muongozo wa kupata ajira kwa kiasi kikubwa.
 
A signed Application letter should be written either English or Swahili and addressed
to Commissioner General, P.O. Box 11491, Mchafukoge - Dar Es Salaam
Vp mkuu unaruhusiwa kuomba kazi zaid ya moja au..?
 
Nimejaribu kutest system yao ya kutuma maombi haifanyi kazi. what the f*****ck
Me pia napata changamoto, kwanza naambiwa natakiwa ku activate email yangu kutoka katika email yangu(ambapo msg ya ku activate haiji), pili nikienda kwenye resend nikiweka email yangu naambiwa "sorry This company is restricted for your account. Sijui shida nini hapo
 
Kwenye gmail jaribu kuangalia kwenye Spam... Labda hiyo email ya ku activate imeingia kwenye Spam
 
Me pia napata changamoto, kwanza naambiwa natakiwa ku activate email yangu kutoka katika email yangu(ambapo msg ya ku activate haiji), pili nikienda kwenye resend nikiweka email yangu naambiwa "sorry This company is restricted for your account. Sijui shida nini hapo
wamezingua kwakweli hawakujindaa vya kutosha, server zao hamna kitu
 
Anhaa basi itakuwa tatizo lipo upande wao...

Unaweza ukatengeneza account nyingine ya email uitumie hiyo kufanya application.. unaweza ukafanikiwa
Akhsante sana mkuu kwa kujali, Mungu akujaalie upate hizi kazi kama unaomba. Ngoja labda nijaribu kwa email nyingine lakini nilijaribu kufungua kwa email ile ile ikasema account yangu ipo tayari.
 
Back
Top Bottom