Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

Acha ubishi wewe! Kubali Ni kweli hujui. Umewekewa link. Ukibonyeza link automatically inakupeleka direct kwenye website ya TRA ajira portal. Sign up,read instructions and apply a certain job.
Acha KUHANYAHANYA.
Asante sikuona link ya Twitter
 
Acha ubishi wewe! Kubali Ni kweli hujui. Umewekewa link. Ukibonyeza link automatically inakupeleka direct kwenye website ya TRA ajira portal. Sign up,read instructions and apply a certain job.
Acha KUHANYAHANYA.
Nipe link bas mkuu[emoji41]
 
Back
Top Bottom