Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

Napata huo ujumbe .Niki access recruiting portal ya TRA
Screenshot_20230528-093457_1.jpg
 
Ta
Nimetumiwa file ,PDF za Kaz za TRA ambazo Wametangaza nafasi mbali mbali ktk ofisi hyo ila Cha ajabu tangazo Hilo halipo katika portal za ajira portal yaan utumishi

Ndio nauliza hapa utaratibu wa mwanzo ule wa kuomba kazi Moja kwa Moja kweny taasisi husika umeanza lini au utumishi wamewapa tra kibali Cha kufanya hivyo?

View attachment 2636605View attachment 2636608T
Tangazo la kweli kaka TRA kajiondoa utumishi.
 
Kwa mwenye kujua msaada namna ya kujaza qualifications kwenye hiyo recruitment portal ya tra shule niliyosoma na chuo havipo kwenye list yao
Kweli mkuu hii ni changamoto kwetu sote naona mpaka sasa labda wadau wanao fahamu vizuri watusaidie kipengele hiki humu jamani.
 
Chagua "others" kisha jaza jina la shule/chuo/course kutegemea na kinachotakiwa kwenye part husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukichagua others then unakuta pia baadhi ya shule na vyuo pia havipo kwenye huo mfumo mkuu, na pia ukiamua kutumia mfumo wa others Syteam inakataa kusave mpaka uweke hizo qualifications ambazo hazipo.
 
Wakuu TRAS 3:2 ndio kiwango gani cha mshahara level diploma, IT officer
 
Mkuu ukichagua others then unakuta pia baadhi ya shule na vyuo pia havipo kwenye huo mfumo mkuu, na pia ukiamua kutumia mfumo wa others Syteam inakataa kusave mpaka uweke hizo qualifications ambazo hazipo.
Mbona kwangu imekubali, ukichagua others itaacha space ili ujaze jina la chuo/shule au unatumia simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom