Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,754
Reaction score
18,776
Nimetumiwa file ,PDF za Kaz za TRA ambazo Wametangaza nafasi mbali mbali ktk ofisi hyo ila Cha ajabu tangazo Hilo halipo katika portal za ajira portal yaan utumishi

Ndio nauliza hapa utaratibu wa mwanzo ule wa kuomba kazi Moja kwa Moja kweny taasisi husika umeanza lini au utumishi wamewapa tra kibali Cha kufanya hivyo?

Screenshot_20230527-133102.jpg
JamiiForums2047523966_240x427.jpg
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    36.9 KB · Views: 31
Back
Top Bottom