permist
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 654
- 414
kaka umetushtuaWameishaitwaa tayarii mbona wikii ya pilii sasa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
kaka umetushtuaWameishaitwaa tayarii mbona wikii ya pilii sasa
Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna.Bado tra bado hawajaitaa watu kwenye usailii kuwenii na subiraa,nilionaa Uzi umekaaa kmy ikabidii niwashtue kdg
wakudaai yake yake ya PSRS, waliwanyang'anya kisa wanachelewesha mchakato na wenyewe wanafanya yale yaleDuuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna.
psrs wanatumia muda mrefu sana kufanya mchakoto wacha taasisi wafanye wenyeweTRA waachie Utumishi waendeshe zoezi la Ajira... wanataka Waingize Wachaga kwenye hizo Nafasi.. mbaya sanA...