Je, soko la HISA ni utapeli?

Je, soko la HISA ni utapeli?

Sasa mkuu kama investor wenyewe ndio hao hawatikiswi na habari yoyote kufanya wauze kwa bei yoyote unategemea nini? Soko la hisa kwa bongo lipo tofauti sana. Yani watu wanafanya hisa kama UTT for saving zaidi.....

Kama uamini angalia trend ya market kuanzia january mpaka sasa. Utashangaa....
Angalia ukuaji wa hisa hapo halafu uliza wanaoperate kwa principle gani hapo...
Hapo price ilibadilika kutokana na kubadilika kwa kanuni za DSE ndio maana hisa nyingi zilipanda sana au kushuka .Zilikuwa issue tatu moja wapo ni jinsi ya calculation za beinya hisa
 
Pili DSE hawapangi bei bali bei inakuwa drived na law ya demand na supply. Wanaozitaka hisa za voda ni wachache kuliko waliotayari kuziuza (wengi wako tayari kucompromise) so bei haiwezi panda kwa minajiri hiyo. Ile inayoonekana pale ndo uhalisia hasa wa bei ya hisa ya voda, achana na ile ya IPO
Kwa hiyo hisa mnauziana kama madalali wa Karume? Kwamba leo wanunuzi wengi mi ntauza 450 mwingine anasema mimi ntauza 455? Au bei ni kwa wote sawasawa?
 
Hapo price ilibadilika kutokana na kubadilika kwa kanuni za DSE ndio maana hisa nyingi zilipanda sana au kushuka .Zilikuwa issue tatu moja wapo ni jinsi ya calculation za beinya hisa
Wana calculate vipi
 
Eleza zaidi
A new definition of closing price has been adopted, calculated as the volume-weighted average price (VWAP) of trades executed during the trading session, provided a minimum of 100 shares is traded per transaction. This replaces the previous rule that relied on a percentage of issued shares and aims to resolve the issue of price stagnation. • Rule 281 has been amended to reinforce that only trades with a minimum of 100 shares will influence the closing price. Smaller trades will not affect end-of-day valuations.

Read more at: Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Amends Trading Rules to Enhance Market Liquidity and Transparency and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
 
Back
Top Bottom