Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,481
Mkuu 1: hatumii majina haya kwa mapenzi yake isipokuwa mwenyezi mungu ndiye aliyempa majina hayo kwa sisi hata akikutokea hapo sasa hivi atakwambia jina langu ni Lucifer au jina lingine lolote tu litakalo wakilisha uzuri wa kukulaghai hatumii yeye isipokua haya waliambiwa manabii na The CreatorDuuh, haya ninaomba unifafanulie haya machache.
1)Kwa nini anatumia majina mawili Dajjal na Ibilis?
2)Kwa nini anatumia namba 666(Kafir)
3)Namba 74 ina maana ipi kiroho?
4)Kwa nini mara nyingi huwa wanazidisha na namba 9?
5)Dajjal ana jicho moja lakini mbona Ibilisi ana macho mawili?
6)Kuna ukweli wowote kwamba Dajjal anaishi kwenye Bermuda triangle?.
2: hizi namba 666 ni namba ambayo inatambulika kama namba ya shetani au muhuri wa shetani hii ina maana pana kwa kila mtu lakini ukweli kuhusu namba hii unapatikana kwenye kutabu kilicho jumlisha ufunguo au uwazi au kile kinachoitwa utandawazi ili uweze kufunguliwa njia za maono ya shetani basi hii ni moja kati ya code za mwanzo mwanzo kabisa za shetani vyovyote mtu anapotumia basi huanza kumchua shetani kwa undani na kupata matunda yake,
3: namba 74 inaunganisha namba 7 na namba 4 ambazo jumla ya namba hizi ni 11, 7 ni namba ya mwisho katika kuumbwa kila kitu na 4 ni namba ya mwisho katika kugawanywa pande 4 za dunia lakini pia namba 11 ni namba inayohusiana na mlango wa jamii nzima hivyo kwa summary hii ndogo utafahamu kwamba unapozungumzia namba 74 basi unamzungumzia malaika daraja ya 74 ambaye huyu anadeal na kukufanyia uhisi dunia nzima ipo kiganjani kwako hapo hapo ufahamu ya kwamba Shetani kila ametengeneza mifano mingi sana ya ulimwengu wa kimungu na kibinadamu imefikia sehemu hata kujua vitu vingine watu wanavipuuza kuhofia kumuasi muumba wao,
4: namba 9 ni namba ya safari ya maisha ya viumbe vyote,
5: Shetani ni shapeshifter so anaweza kuwa na macho hata 90 mkuu achilia mbali 1,
6: bermuda triangle hakuna ukweli kwamba anakaa shetani kwa sababu yanayotokea pale yanaweza kutokea popote yakiamulika na utawala wa shetani, shetani anavituo kila center za bahari mkuu kwa sababu kama mungu angesema shetani yupo Bermuda Triangle basi angehama ili kuweza kuwapotosha watu lakini yeye yupo center ya bahari basi tambua bahari zote center kuna kituo chake, fikiria kama ungepewa mamlaka aliyopewa yeye ungekaa sehemu moja?
Ni maelezo na mafundisho yanayohitaji uchambuzi na ufafanuzi mpana ambayo huwezi kuyasimplified kwenye artical ndogo mkuu
Rakims
Sent using Jamii Forums mobile app