Je shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

  • Thread starter Hance Mtanashati
  • Start date

Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,460
Likes
1,339
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,460 1,339 280
Duuh, haya ninaomba unifafanulie haya machache.

1)Kwa nini anatumia majina mawili Dajjal na Ibilis?

2)Kwa nini anatumia namba 666(Kafir)

3)Namba 74 ina maana ipi kiroho?

4)Kwa nini mara nyingi huwa wanazidisha na namba 9?

5)Dajjal ana jicho moja lakini mbona Ibilisi ana macho mawili?

6)Kuna ukweli wowote kwamba Dajjal anaishi kwenye Bermuda triangle?.
Mkuu 1: hatumii majina haya kwa mapenzi yake isipokuwa mwenyezi mungu ndiye aliyempa majina hayo kwa sisi hata akikutokea hapo sasa hivi atakwambia jina langu ni Lucifer au jina lingine lolote tu litakalo wakilisha uzuri wa kukulaghai hatumii yeye isipokua haya waliambiwa manabii na The Creator

2: hizi namba 666 ni namba ambayo inatambulika kama namba ya shetani au muhuri wa shetani hii ina maana pana kwa kila mtu lakini ukweli kuhusu namba hii unapatikana kwenye kutabu kilicho jumlisha ufunguo au uwazi au kile kinachoitwa utandawazi ili uweze kufunguliwa njia za maono ya shetani basi hii ni moja kati ya code za mwanzo mwanzo kabisa za shetani vyovyote mtu anapotumia basi huanza kumchua shetani kwa undani na kupata matunda yake,

3: namba 74 inaunganisha namba 7 na namba 4 ambazo jumla ya namba hizi ni 11, 7 ni namba ya mwisho katika kuumbwa kila kitu na 4 ni namba ya mwisho katika kugawanywa pande 4 za dunia lakini pia namba 11 ni namba inayohusiana na mlango wa jamii nzima hivyo kwa summary hii ndogo utafahamu kwamba unapozungumzia namba 74 basi unamzungumzia malaika daraja ya 74 ambaye huyu anadeal na kukufanyia uhisi dunia nzima ipo kiganjani kwako hapo hapo ufahamu ya kwamba Shetani kila ametengeneza mifano mingi sana ya ulimwengu wa kimungu na kibinadamu imefikia sehemu hata kujua vitu vingine watu wanavipuuza kuhofia kumuasi muumba wao,

4: namba 9 ni namba ya safari ya maisha ya viumbe vyote,

5: Shetani ni shapeshifter so anaweza kuwa na macho hata 90 mkuu achilia mbali 1,

6: bermuda triangle hakuna ukweli kwamba anakaa shetani kwa sababu yanayotokea pale yanaweza kutokea popote yakiamulika na utawala wa shetani, shetani anavituo kila center za bahari mkuu kwa sababu kama mungu angesema shetani yupo Bermuda Triangle basi angehama ili kuweza kuwapotosha watu lakini yeye yupo center ya bahari basi tambua bahari zote center kuna kituo chake, fikiria kama ungepewa mamlaka aliyopewa yeye ungekaa sehemu moja?

Ni maelezo na mafundisho yanayohitaji uchambuzi na ufafanuzi mpana ambayo huwezi kuyasimplified kwenye artical ndogo mkuu

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frustration

Frustration

Senior Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
154
Likes
103
Points
60
Frustration

Frustration

Senior Member
Joined Jan 30, 2018
154 103 60
Katika uumbaji wa viumbe hai ukiachana na wanyama tuwajuao wa polini wakuliwa na wasio liwa, MUNGU alifanya uumbaji mwingi yaani ni uumbaji wa sita ni Adam na kabla ya Adam aliumba Jini(MAJINI). uumbaji wenyewe ni huu
hinn, binn, timm , rimm , jann, jinn na Adam(human being). Katika viumbe hao isipokuwa binadamu tu ambae hakuumbwa kwa Moto. Hinn na binn walifanana zaidi na jini utofauti wao jini aliubmwa kwa moto usio na smoke(smokeless fire) WAKATI wengine waliubwa kwa moto wenye kuunguza( Scorching fire) na jini aliwaangamiza hinn na binn na ndio maana katika kuran wameelezwa jini ni viumbe waliofanya maovu zaidi katika uumbaji. Hii ilipelekea MUNGU kutoa amri ya kuangamiza majini wote. Na katika uangamizaji huo aliachwa Ibilis ambae nae alikuwa na kiburi na kupiga na Jeshi la Mungu. Inaelezwa Hinn na binn walimsapoti Ibilis katika vita hiyo.
source Wikipedia
Go and search Hinn for more details
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Tunaanza upyaaa
 
Lyaka mlima

Lyaka mlima

Senior Member
Joined
Dec 21, 2017
Messages
101
Likes
46
Points
45
Lyaka mlima

Lyaka mlima

Senior Member
Joined Dec 21, 2017
101 46 45
Aliyekuambia kuwa shetani ni kizazi cha majini???
 
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
2,629
Likes
1,477
Points
280
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
2,629 1,477 280
Kwahiyo jinn ibilis aliwauwa supporters wake kwenye vita dhidi ya Mungu na malaika zake?
Na ushasema Mungu aliwaba hao viumbe sasa mbona wauliza tena ibilis ametokea ukoo gani tena?! Labda mimi sijakuelewa hii elimu mpya unayoileta hapa
Katika uumbaji wa viumbe hai ukiachana na wanyama tuwajuao wa polini wakuliwa na wasio liwa, MUNGU alifanya uumbaji mwingi yaani ni uumbaji wa sita ni Adam na kabla ya Adam aliumba Jini(MAJINI). uumbaji wenyewe ni huu
hinn, binn, timm , rimm , jann, jinn na Adam(human being). Katika viumbe hao isipokuwa binadamu tu ambae hakuumbwa kwa Moto. Hinn na binn walifanana zaidi na jini utofauti wao jini aliubmwa kwa moto usio na smoke(smokeless fire) WAKATI wengine waliubwa kwa moto wenye kuunguza( Scorching fire) na jini aliwaangamiza hinn na binn na ndio maana katika kuran wameelezwa jini ni viumbe waliofanya maovu zaidi katika uumbaji. Hii ilipelekea MUNGU kutoa amri ya kuangamiza majini wote. Na katika uangamizaji huo aliachwa Ibilis ambae nae alikuwa na kiburi na kupiga na Jeshi la Mungu. Inaelezwa Hinn na binn walimsapoti Ibilis katika vita hiyo.
source Wikipedia
Go and search Hinn for more details
 
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
2,629
Likes
1,477
Points
280
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
2,629 1,477 280
Kwahiyo jinn ibilis aliwauwa supporters wake kwenye vita dhidi ya Mungu na malaika zake?
Na ushasema Mungu alitoa amri ya kuwaangamiza majini) hao viumbe sasa mbona wauliza tena ibilis (alikuwa jeuri na kupigana na majeshi ya malaika) ametokea ukoo gani tena?! Labda mimi sijakuelewa hii elimu mpya unayoileta hapa
 
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,653
Likes
445
Points
180
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,653 445 180
Hiyo ni according to Quran. Biblia inafundisha kuwa shetani alikua malaika wa Nuru na sita mbinguni. Alifukuzw baada ya kutaka kumpindua Mungu
 
de locci

de locci

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
1,621
Likes
988
Points
280
Age
68
de locci

de locci

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
1,621 988 280
Write your reply...
mtu aliyeleta dini afrika alaaniwe...
 
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
2,018
Likes
1,314
Points
280
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
2,018 1,314 280
Achana na mmb ya yesuyesu kaa chini elimika ndugu yngu..tatz lko hujui nn maana y jibi jinni ni nani na wala hutak kujifunza tifauti y jinni na sheatan ni ipi
Mkuu jinn na shetani ni wa moja hamna tofauti hapo hata kidogo
 
A

andoza

Senior Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
164
Likes
100
Points
60
A

andoza

Senior Member
Joined Nov 26, 2018
164 100 60
Kwani wewe unavyojua ibilisi historia yake ikoje?? Au unabisha bisha hovyo vitu usivyovijua?

Ibilisi ni jini ambaye alikuwa akiishi na malaika

sasa maswali yangu ndio nikayapanga kama ifuatavyo

1)Wazazi wake ni nani na nani?

2)Ndugu zake ni akina nani?

3)Anatokea katika aina/koo ipi ya majini?

4)Uzao wake ulianzaje anzaje?

5)Kama ikiwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adamu, je jini wa kwanza kuumbwa ni nani?[/QUOTJi ni ro ho zabinadamu wanaongaika kwa sababu ya ukaidi.NiFrustrated human spirit that have nothing to do,no body to occupy o so they just mess around with humans knowing that they will never again occupy a body to have the fun of being humans.People who commit suicide in most cases end becoming evil spirits because they can never be humans in the cycle of rebirth
 
mc gregor

mc gregor

Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
53
Likes
51
Points
25
mc gregor

mc gregor

Member
Joined Mar 17, 2017
53 51 25
*OFA OFA OFA *
IPHONE 5s
16Gb
Brand new
Brand new accesories
300k
All colours

Samsung A7 (2015)
Brand new
Brand new accesories
320k
All colors

Samsung galaxy J7(2015)
Brand new
Brand new accesories
All colors

Call 0716119347

Free delivery


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
4,455
Likes
3,712
Points
280
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
4,455 3,712 280
Mkuu, umezunguka sana lakini hujajibu maswali yangu haya.

1)Wazazi wa ibilisi ni akina nani?

2)Anatokea ukoo upi au aina ipi ya majini?

3)Historia yake ya kuzaliwa kwake ilikuwa kuwaje ,kulikuwa kuna ishara yoyote ile isiyo ya kawaida?

4)Je majini na wao waliwahi kuishi peponi kabla ya kushushwa duniani?

5)Historia yake mara baada ya kulaaniwa ikoje? Uzao wake ulikuwaje? Nani alikuwa mtoto wake wa kwanza?
Si umejibiwa sliminess hakuzaliwa
 

Forum statistics

Threads 1,250,102
Members 481,224
Posts 29,720,705