Je shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

  • Thread starter Hance Mtanashati
  • Start date

Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Kama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama inavyojulikana majini yapo ya aina mbalimbali na koo pia sasa je ibilisi anatokea ukoo upi wa ujinini?,wazazi wake majina yao ni nani na nani, vipi kuhusu ndugu zake ni akina nani na nani?

Nani alikuwa jini wa kwanza kuumbwa?Je na wao lilitokea tukio la Adamu na Hawa kule Eden? Historia yao ilikuwaje mpaka wakaletwa duniani na kuzaliana?Je inafanana fanana na baba yetu Adamu??

Historia inaonesha kwamba mara baada ya majini kumuasi Mungu kupindukia ,malaika walitumwa na Mungu kwenda kuangamiza mji wao(Kama walivyoangamiza miji mingine e.g Sodoma na Gomora),na waliwaangamiza majini yote kasoro mmoja ambaye ndiye huyu Ibilisi, Ibilisi kipindi hicho alikuwa mdogo sana hivyo malaika walimuonea huruma kumuangamiza hivyo waliamua kwenda naye mbinguni,lakini Mungu aliwatadharisha sana juu ya Ibilisi kwamba ndiye kiumbe kitakacholeta maafa makubwa siku za mbeleni lakini malaika walimuomba sana Mungu awaruhusu wakae naye , Mungu alowakubalia ili asionekane dikteta na mtesaji kama ambavyo Ibilisi alikuwa akiwaaminisha hivyo baadhi ya malaika.

Kwa hiyo mpaka hatua hii inaonesha si kweli kwamba bifu la Ibilisi na Mungu lilianzia pale Ibilisi alipokataa kumsujudia Adamu kwa kudai yeye ni bora zaidi kwa kuwa kaumbwa kwa moto tofauti na Adamu aliyeumbwa kwa udongo, inaonesha Ibilisi bado alikuwa na hasira na kinyongo kwa kutenganishwa/kuuliwa kwa ndugu zake na hao malaika kwa amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Sasa linakuja ,je baada ya Ibilisi kufukuzwa mbinguni uzao wake ulianzaje anzaje???Au je Ibilisi ndiye huyu Samael ambaye inasemekana ndiye aliyemchukua Lilith kutoka kwa Adamu na kuzaliana naye????
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Kiranga Mshana Jr aretasludovick salaniatz

An Orator

Rakim Nyani Ngabu
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Hii hadithi yako umeiokota wapi?
Kwani wewe unavyojua ibilisi historia yake ikoje?? Au unabisha bisha hovyo vitu usivyovijua?

Ibilisi ni jini ambaye alikuwa akiishi na malaika

sasa maswali yangu ndio nikayapanga kama ifuatavyo

1)Wazazi wake ni nani na nani?

2)Ndugu zake ni akina nani?

3)Anatokea katika aina/koo ipi ya majini?

4)Uzao wake ulianzaje anzaje?

5)Kama ikiwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adamu, je jini wa kwanza kuumbwa ni nani?
 
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
2,697
Likes
2,858
Points
280
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
2,697 2,858 280
Kwani majini yanazaliwa, au yanaukoo....mi nilikuwa sijui, jini anazaliwa eeeh....
 
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
1,754
Likes
822
Points
280
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2012
1,754 822 280
Kwani wewe unavyojua ibilisi historia yake ikoje?? Au unabisha bisha hovyo vitu usivyovijua?

Ibilisi ni jini ambaye alikuwa akiishi na malaika

sasa maswali yangu ndio nikayapanga kama ifuatavyo

1)Wazazi wake ni nani na nani?

2)Ndugu zake ni akina nani?

3)Anatokea katika aina/koo ipi ya majini?

4)Uzao wake ulianzaje anzaje?

5)Kama ikiwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adamu, je jini wa kwanza kuumbwa ni nani?
Narekebisha kwa ufafanuzi - hicho chanzo chako umekitoa wapi? Juu ya IBILISI.
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,216
Likes
2,695
Points
280
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,216 2,695 280
Hadithi ya kufikirika kutoka katika kitabu cha kufikirika!...
 
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
720
Likes
540
Points
180
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
720 540 180
Mkuu kumbe mbinguni full demokrasia manake hapo unatuambia Mungu alijadiliana sana na malaika zake juu ya mustakabali mzima wa Ibilis...
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Mkuu kumbe mbinguni full demokrasia manake hapo unatuambia Mungu alijadiliana sana na malaika zake juu ya mustakabali mzima wa Ibilis...
Ndio, malaika hawakumuua Ibilisi waliishi naye kwa kupewa idhini na Mwenyezi Mungu , Mungu asingewapa idhini basi wangemmaliza kitambo kama walivyowamaliza ndugu zake wengine.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,419
Likes
9,327
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,419 9,327 280
Kama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama inavyojulikana majini yapo ya aina mbalimbali na koo pia sasa je ibilisi anatokea ukoo upi wa ujinini?,wazazi wake majina yao ni nani na nani, vipi kuhusu ndugu zake ni akina nani na nani?

Nani alikuwa jini wa kwanza kuumbwa?Je na wao lilitokea tukio la Adamu na Hawa kule Eden? Historia yao ilikuwaje mpaka wakaletwa duniani na kuzaliana?Je inafanana fanana na baba yetu Adamu??

Historia inaonesha kwamba mara baada ya majini kumuasi Mungu kupindukia ,malaika walitumwa na Mungu kwenda kuangamiza mji wao(Kama walivyoangamiza miji mingine e.g Sodoma na Gomora),na waliwaangamiza majini yote kasoro mmoja ambaye ndiye huyu Ibilisi, Ibilisi kipindi hicho alikuwa mdogo sana hivyo malaika walimuonea huruma kumuangamiza hivyo waliamua kwenda naye mbinguni,lakini Mungu aliwatadharisha sana juu ya Ibilisi kwamba ndiye kiumbe kitakacholeta maafa makubwa siku za mbeleni lakini malaika walimuomba sana Mungu awaruhusu wakae naye , Mungu alowakubalia ili asionekane dikteta na mtesaji kama ambavyo Ibilisi alikuwa akiwaaminisha hivyo baadhi ya malaika.

Kwa hiyo mpaka hatua hii inaonesha si kweli kwamba bifu la Ibilisi na Mungu lilianzia pale Ibilisi alipokataa kumsujudia Adamu kwa kudai yeye ni bora zaidi kwa kuwa kaumbwa kwa moto tofauti na Adamu aliyeumbwa kwa udongo, inaonesha Ibilisi bado alikuwa na hasira na kinyongo kwa kutenganishwa/kuuliwa kwa ndugu zake na hao malaika kwa amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Sasa linakuja ,je baada ya Ibilisi kufukuzwa mbinguni uzao wake ulianzaje anzaje???Au je Ibilisi ndiye huyu Samael ambaye inasemekana ndiye aliyemchukua Lilith kutoka kwa Adamu na kuzaliana naye????
Mkuu kipindi malaika wanaenda kuwapiga majini duniani ibilis hakuwa mtoto alikuwa ni mtu mzima na alikuwa ni miongoni mwa jeshi la malaika akiwapiga majini wenzake. Angalia hii video imeelezea vizuri historia (ila haijajibu swali lako)
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Mkuu kipindi malaika wanaenda kuwapiga majini duniani ibilis hakuwa mtoto alikuwa ni mtu mzima na alikuwa ni miongoni mwa jeshi la malaika akiwapiga majini wenzake. Angalia hii video imeelezea vizuri historia (ila haijajibu swali lako)
Haya tuanzie hapa,

Wazazi wa Ibilisi ni akina nani na nani?

Historia yao ya uumbwaji ikoje?

Ilikuwaje mpaka akawasaidia malaika badala ya kuwasaidia majini wenzake?Kingine cha mwisho hiyo video ni ya uongo, Ibilisi alichukuliwa na malaika mara baada ya vita ya malaika na majini kuisha na yeye pekee ndiye aliye salia.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,419
Likes
9,327
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,419 9,327 280
Haya tuanzie hapa,

Wazazi wa Ibilisi ni akina nani na nani?

Historia yao ya uumbwaji ikoje?

Ilikuwaje mpaka akawasaidia malaika badala ya kuwasaidia majini wenzake?Kingine cha mwisho hiyo video ni ya uongo, Ibilisi alichukuliwa na malaika mara baada ya vita ya malaika na majini kuisha na yeye pekee ndiye aliye salia.
Huo ndio msimamo wa dini ya kiisilamu, hio ya ibilisi alichukuliwa mtoto una ushahidi nayo? Ni vyema ungeeka hapa huo ushahidi.
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
5,610
Likes
8,089
Points
280
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
5,610 8,089 280
Huo ndio msimamo wa dini ya kiisilamu, hio ya ibilisi alichukuliwa mtoto una ushahidi nayo? Ni vyema ungeeka hapa huo ushahidi.
Tuachane na suala la umri ,

Tujikite zaidi kwa wazazi wake ni nani na nani?

Vipi historia yake kwa ujumla ya kuzaliwa kwake ikoje?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,419
Likes
9,327
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,419 9,327 280
Haya tuanzie hapa,

Wazazi wa Ibilisi ni akina nani na nani?

Historia yao ya uumbwaji ikoje?

Ilikuwaje mpaka akawasaidia malaika badala ya kuwasaidia majini wenzake?Kingine cha mwisho hiyo video ni ya uongo, Ibilisi alichukuliwa na malaika mara baada ya vita ya malaika na majini kuisha na yeye pekee ndiye aliye salia.
Kwanza ufahamu si majini wote ni waovu kipindi bado binadamu hajakuja duniani kulikuwa na majini wanaomuabudu mungu na majini ambao walikuwa wakimuasi mungu.

Soma hizi aya mbili
“ ‘I am better than him (Adam), You created me from fire, and him You created from clay’”

[al-A’raaf 7:12]

Hii aya inaonesha iblis ametengenezwa na mungu kutokana na moto (hajazaliwa)

“Will you then take him (Iblees) and his offspring as protectors and helpers rather than Me while they are enemies to you?”

[al-Kahf 18:50]

Hapa inaonesha Iblis ana watoto kama nimetafsiri vizuri,

Kama nilivyokuambia hapo juu kuna majini wema na wabaya hivyo iblis alikuwa kundi la majini mema na aliungana na malaika kupigana vita na majini wabaya (battle of good and evil) na malaika pamoja na iblis wakashinda na majini wabaya wakatokomezwa, baada ya vita iblis akitegemea ushindi wake atapata zawadi fulani amazing kama kupewa awe kiongozi wa dunia hivi ila Mwenyezi Mungu alikuwa na plan nyengine akamuumba adam, na kumpa uongozi wa dunia, hope stori inavyoendelea unaijua.
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
950
Likes
536
Points
180
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
950 536 180

Chief Mkwawa, vipi mbona unatuacha njia panda? Maliza hiyo story tupate elimu mkuu!.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,419
Likes
9,327
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,419 9,327 280
Chief Mkwawa, vipi mbona unatuacha njia panda? Maliza hiyo story tupate elimu mkuu!.
Itakuwa ni nje ya mada mkuu, tuongelee tu mazazi na makuzi ya huyu ibilisi hapa.
 
Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091